Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Mpaka kizazi kilichoachwa na Nyerere chote kiishe.Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.
Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania.
Ila nadhani si habari njema kuuziwa sukari ambayo kama kuna investment financial instrument zingetumika, Tanzania ungeweza kuzalisha sukari ya domestic & industrial use.
Sijui tunakosea wapi sisi Watanganyika?
Maana bado tuna import soft brooms, toothpick, miswaki, duster za ubaoni, chaki za kuandika, daftari za kuandikia.
Lini tutafika?
F
Kwenye kuchambua hizo siku 100 sasa,waandishi wetu wa habari. Karibia kila media itakuwa ni kusifia tu kwamba kafanya mazuri,kajitahidi. Kutakuwa hamna hata mmoja kuweka fact ubaoniAcheni afanye ndiyo mlikuwa mnataka, nchi ifunguke ingawa bado mengine ya ajabu yanakuja ngoja tuone anakoenda mpaka kumaliza zile siku 100 tutapata jibu mujarabu!
Wewe msomi umeanzisha hata kiwanda cha kushona chupi ?PRIVATE sector ya Tanzania inapenda zaidi uchuuzi kuliko Uzalishaji wa viwandani
Tatizo letu private sector yetu imejaa illiterates darasa la saba na wasiosoma kabisa ndio wanaoendesha private sector
Hata ukute mamilionea ni wachuuzi tu sio producers!!! au wazalishaji wa viwanda!!! Jirani zetu Kenya Private sector wasomi ndio wamejazana kuna viwanda balaa
Kunywa chai sukari kutoka uganda, kula pipi kutoka Kenya, dawa za meno, khanga, kanda mbili. Miradi mikubwa isimame kwanza tufungue nchi. Hela inayoitajika kwa miradi yetu, tufungulie nchi kwa viwanda vya nje!😂😂😂 Naona hawa wazalendo wa Magu wanataka tupige chai bila sukari kisa Uzalendoooo.
2350Kwani sasa dola moja ni sh ngapi mkuu?
Punguza sauti,weka akiba ya maneno.siku ziko nyingi mbeleni.Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Shida ya wawekezaji wetu wa ndani wamejaa hujuma..wanachojua ni kuficha bidhaa ili wapandishe bei.Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Bado siku ngapi?Acheni afanye ndiyo mlikuwa mnataka, nchi ifunguke ingawa bado mengine ya ajabu yanakuja ngoja tuone anakoenda mpaka kumaliza zile siku 100 tutapata jibu mujarabu!
Miaka katika uongozi wake alijenga viwanda vingapi vya sukari?Kutoka Tanganyika, JMT hadi MIKURUPUKO state.
Tusubirie zile sukari kutoka Brazil zilizoisha muda(expire) wake zikafanyiwa PACKAGE zikiwa na made in UGANDA zikiwa SOKONI. Tanzania kweli failed state, kweli tunashindwa kujenga hata kiwanda cha SUKARI?
Alisema tutamkumbuka kwa kweli tutamkumbuka
Point mkuuWatanzania kwa gumu yaani tungekuwa tunaongoza duniani. mbona sisi tuanuza mahindi Kenya. Sukari imepanda bei kelele soko linafunguliwa kelele. wacha walete muhimu mteja aweze kupata bei ya ushindani sio watu wachache ku monopolize soko. Gubu tu Mungu katujalia.
Hakuna hata kimojaMiaka katika uongozi wake alijenga viwanda vingapi vya sukari?
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Sasa mnakataa kuwa soko wakati bidhaa yenyewe haishikiki kwenye soko ?!. WaTz ni wanafiki kwa asili.Hayahaya tuliyakataa, nchi haiwezi kuendelea kwa kuimport tu. Sasa pesa yetu ya madafu inaenda kuzorota zaidi.
Huyu bi mkubwa nasubiria tu afute mikodi ya ajabu ajabu,TZ kuna vitu ukiagiza nje inakua kama anasa kodi wanayokupiga tofauti na upande wa zanzibar,natamani sana bi mkubwa afanye kodi ya bara iendane na ya visiwaniNchi wanabana wanajua watu wengi watakuwa mabilionea.
Nchi hii kuna watu wanataka pekee yao.
Ndiyo wawe na mabilion,pekee yao ndiyo.
Wafanye biashara export,import
Ova
Niko Private sector wasomi wengi wamejaa serikalini na kwenye siasa na mitaani wakiwa hawana ajira yeyoteWewe msomi umeanzisha hata kiwanda cha kushona chupi ?
We jamaa uishie huku huku sasa,kule jukwaa la wakenya utuachie wenyewe 🤣Mbona wewe unapiga kelele badala ya kuwekeza Ili tununue sukari bei ya chini?
Usiwe popoma viwanda vikiwa tayari sheria za kuvilinda zitafuata ila kwa sasa anatulinda wananchi
Kila kilichokuwa kimewekwa kwenye msingi kitasukumiwa mbali na giza na vuru vuru kuanza kukita miziziAcheni afanye ndiyo mlikuwa mnataka, nchi ifunguke ingawa bado mengine ya ajabu yanakuja ngoja tuone anakoenda mpaka kumaliza zile siku 100 tutapata jibu mujarabu!
Avikujengwa ila viliboreshwa tuliokuwa navyo ndio maana hakina hayati Turky walimaind na ali control sukari zilizo expire kutoka Brazil.Miaka katika uongozi wake alijenga viwanda vingapi vya sukari?
Kwa hyo ulitaka tuendelee kunywa uji na chumvi mkuuHuyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app