secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ushaliwa kichwa wwTatizo hamjui kanuni za uchumi. Marehemu alichokuwa anafanya ilikuwa ni primitive economy, na kamwe asingefanikiwa.
Kinachohitajika ni kuuchangamanisha uchumi wetu na uchumi wa Dunia. Watatuuzia sukari, lakini nasi tutawauzia bidhaa nyingine.
Ukifungia bidhaa za wengine, na wewe za kwako zitafungiwa. Wewe unajua hasara waliyoipata wafanyabiashara wa mahindi, mbao, korosho na matunda, kutokana na maamuzi ya hovyo ya marehemu ya kuanzisha chokochoko ambazo hazikuwa na msingi wowote dhidi ya Kenya?
Acha upuuzi, Leo hii nimenunua sukari kwa TSH 3000 kwa kilo. Hongera sana mama. Piga kazi, tupo nyuma yako. Zama zimebadilika. Kila zama na kitabu chake. TUBADILIKE!Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]We ndio mkurupukaji! Unajua urasimu uliopo Tanzania kwenye viwanda vya sukari vinavyomilikiwa na wanasiasa akiwemo hayati mkapa na genge lake?
Unajua bei ya sukari kutoka Uganda ni 1500?
Unajua pia sukari kutoka Malawi ni 1500?
Unajua maana ya free market economy?
Unajua sisi tunauza sana Uganda kuliko wao wanavyouza huku?
Msijikite kulaumu tu wakati sukari ikipanda vile vile mnalaumu.
Pumbavu kweli ufahamu chochote kuhusu uchumi acha kulaumu Rais kwenye swala la uwekezaji yupo sawa kabisa mwenyewe namuunga mkono.
Tusifanye chuki zetu zitutoe ufahamu Tanzania bado hatujitoshelezi kwa Sukari, cement Na mafuta tuache siasa tufanye biashara.
Ajira je huna ndugu labda huko viwandani na mkulima miwa?Kwa miaka mingapi hivyo viwanda vya tz vimepewa nafasi ila vimeshindwa kukidhi mahitaji ya soko? Yaani viwanda viendelee kuwafanya watu wakose sukari kisa bei ipo juu kutokana na demand kuwa kubwa kuliko supply? Acha sukari ije bei ishuke, simple!
Umeandika nini?Ajira he huna ndugu labda?
Nauliza ajira vipi? Wengi watapoteza ajira kwa sukari ya nje kuwa rahisi wakiwemo wakulima Wa miwa wanaouzia viwanda miwa !! Hiyo bei juu ilikuwa inasaidia nduguyo kuwa na ajira na wakulima kuwa na ajira kilimo cha miwa na vibarua kibaoUmeandika nini?
Sijui watanzania tumelogwa .....sasa sukari tunazalisha lakini haitoshi tunaishia kuuziwa bei kubwaa kisa tunalinda viwanda vyetu .Mm naona sawa tu maana km hapo zambia sukari ipo kibao bora tuagize na wazambia nao watachukua mchele hivo hivo hata kwa waganda wanakuja sana kanda ya ziwa kuchukua mchele, dengu na nk ...tuishi kwa kutegemeana .Hayahaya tuliyakataa, nchi haiwezi kuendelea kwa kuimport tu. Sasa pesa yetu ya madafu inaenda kuzorota zaidi.
hakuna anaegoma sukari isije. Kwa taarifa yako Tanzania kila mwaka ina deficit ya zaidi ya Tani 120,000 za domestic sugar. Industrial sugar yote tuna import.Kwa miaka mingapi hivyo viwanda vya tz vimepewa nafasi ila vimeshindwa kukidhi mahitaji ya soko? Yaani viwanda viendelee kuwafanya watu wakose sukari kisa bei ipo juu kutokana na demand kuwa kubwa kuliko supply? Acha sukari ije bei ishuke, simple!
Hii yaani hiyo bei bado kubwa ,kabla ya mfungo ilikuwa inauzwa 2600Acha upuuzi, Leo hii nimenunua sukari kwa TSH 3000 kwa kilo. Hongera sana mama. Piga kazi, tupo nyuma yako. Zama zimebadilika. Kila zama na kitabu chake. TUBADILIKE!
Wakati tunapata huduma toka kwa wachuuzi huku wawekezaji wanajenga viwanda.Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Utaelewa tu. Mmekomba pesa nssf kujenga kiwanda Cha sukari mbigiri kilosa, Sasa mwaka was ngapi hakuna hata robo kilo ya sukari?Sijui kama nimeelewa.
Kama tutanunua chini ya bei tunayoagiza toka huko, shida ipo wapi?Sukari itatoka Brazil, Asia, itapita Mombasa au Dar es salaam port itaenda Uganda itakunja kona kurudi kuuzwa TZ.
We umesahau watu wa kagera walikamatwa enzi za mwenda zake pindi walipofuata bei nzuri uganda,umesahau mara hiiWawaruhusu na nyie muuze kahawa huko Uganda
Ova
Sasa kama makodi yenu yanafanya production cost iwe juu unategemea nini wakati wananchi wanahtaji unafuu wa maisha.Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.