TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
- #181
viwanda ni mipango ya muda mrefu havioti kama uyoga ,hao kila Mo Dewji tunaowategemea kuanzisha viwanda vikubwa wamekuwa hawazalishi bidhaa badala yake wanafanya udalali tu.Great thinker? Unajibu kirahisi kabisa. Duuh Nchi yangu
Watu wana mambo mengi hatuwezi subiria hivyo viwanda,juzi waziri kaongea na wafanyabiashara wanakubali kwamba hawana uwezo hvyo defficit haiepukiki kwa sasa wacha tu tuagize maana hata usipoagiza watu wanaleta kimagendo .