UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala

latest06pix-data.jpg


Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua

Sababu ya mauaji hayo bado haijafahamika

===

The Minister of State for Labour, Employment and Industrial Relations, Col (rtd) Charles Okello Engola has been shot dead by his bodyguard attached to Uganda People’s Defence Forces (UPDF).

The Minister, 64 was shot while at his home in Kayanja, a Kampala suburb.

The guard later fired shots in the air before taking his own life in a nearby salon.

The motive behind the murder remains unclear.

Source: Daily Monitor

---
Uganda.png
 
Waziri wa Kazi nchini Uganda, kanali mstaafu wa jeshi la nchi hiyo, Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake mapema leo asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa ya naibu msemaji wa polisi jijini Kampala, Luke Owoyesigire, kanali Engola aliuawa akiwa nyumbani kwake eneo la Kyanja na tayari ulinzi umeimarishwa kwenye eneo la makazi yake yalipotokea mauaji hayo.

Sababu za mauaji hayo bado hazijawekwa wazi huku ikidaiwa mlinzi aliyemuua waziri huyo naye alijipiga risasi.

#AzamTVUpdates #AzamNews #WaziriAuawaUganda #KanaliCharlesOkello
 
Back
Top Bottom