UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

Na jiliman lutihinda?, kanal endrew shija?
Uganda wanasiasa waliostaafu jeshi kule wengi, ni kama ilivyo Pakistan. Ubishi na kulazimisha mambo huwa ni kawaida, ubabe na ugomvi especially nchi zao zinavyoendeshwa kijeshi. Kama bongo ambavyo wana CCM ndio hawaguswi na wana uhuru wa kusumbua na hizo nchi retired military men ndio walivyo
 
Kama mtu Ni muadilifu, hajamdhulumu mtu, hajatembea na mke wa mtu, hatembei na hela nyingi, anahitaji mlinzi wa nini? Ni wale ma suspect tu ndio wanahitaji kulindwa dhidi ya wananji walio wadhulumu au kuwaibia kura.
 
Hapo Uganda viongozi kupigwa risasi sio jambo la kawaida maana walishalianzisha. Sisi bongo tangu Mwamwindi amuue RC wa Iringa miaka ya 70 hakuna kiongozi aliwahi kuuwawa. Badala yake Ditopile aliua mchana kweupe pe na akashinda kesi
Ila si alishafariki? Je, alifariki kwa kuuawa?
 
Hapo Uganda viongozi kupigwa risasi sio jambo la kawaida maana walishalianzisha. Sisi bongo tangu Mwamwindi amuue RC wa Iringa miaka ya 70 hakuna kiongozi aliwahi kuuwawa. Badala yake Ditopile aliua mchana kweupe pe na akashinda kesi
Marehemu Dito kesi yake hakushinda ila alifariki wakati kesi haija anza kusikilizwa.
 
Hapo Uganda viongozi kupigwa risasi sio jambo la kawaida maana walishalianzisha. Sisi bongo tangu Mwamwindi amuue RC wa Iringa miaka ya 70 hakuna kiongozi aliwahi kuuwawa. Badala yake Ditopile aliua mchana kweupe pe na akashinda kesi
acha kukurupuka chanzo kimeelezwa ni kwamba mlinzi hajalipwa mshahara kwa muda mrefu. hawa viongozi ni wakatili sana, yeye anakula maisha mwenzako hata ule mshahara wake mdogo halipwi. Amevuna alichopanda na iwe fundisho kwa wenye tabia km hizo.
Na jiliman lutihinda?, kanal endrew shija?
Aliyeuwawa sio Rutihinda Governor wa Benki kuu.
Nicas Mahinda ndiyo aliuwawa,General Imran Kombe kwa kuongezea.
 
Back
Top Bottom