UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

Hapo Uganda viongozi kupigwa risasi sio jambo la kawaida maana walishalianzisha. Sisi bongo tangu Mwamwindi amuue RC wa Iringa miaka ya 70 hakuna kiongozi aliwahi kuuwawa. Badala yake Ditopile aliua mchana kweupe pe na akashinda kesi
 
Mlinzi huyo wakati anamtandika risasi waziri alikuwa analalamika hajalipwa Mshahara wake muda mrefu licha ya kumlinda waziri kila uchao. Alipomuua akakimbilia salon na kuwaambia waliokuwemo watoke na yeye akajipiga risasi.
 
acha kukurupuka chanzo kimeelezwa ni kwamba mlinzi hajalipwa mshahara kwa muda mrefu. hawa viongozi ni wakatili sana, yeye anakula maisha mwenzako hata ule mshahara wake mdogo halipwi. Amevuna alichopanda na iwe fundisho kwa wenye tabia km hizo.
 
Hapo Uganda viongozi kupigwa risasi sio jambo la kawaida maana walishalianzisha. Sisi bongo tangu Mwamwindi amuue RC wa Iringa miaka ya 70 hakuna kiongozi aliwahi kuuwawa. Badala yake Ditopile aliua mchana kweupe pe na akashinda kesi
Siyo vzr kuwauwa viongoz lkn siyo afya kbsa nch itayumbaa sna na kukimbiwa na waekezaji
 
Inasemekana alimcheleweshea mshahara wake kumlipa kwa wakt jmn jmn
 
huyo ni waziri wa ajira then aliemuajiri hamlipi viongozi wa afrika tabu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…