Uganda yapitisha sheria mpya kukataza wanawake kuvaa nguo fupi

Sisi ma-air hostess itakuwaje sasa
Na wafanyakazi wa banks na kwenye mahotel ya kitalii, manake ndo mavazi yetu sie
 
Sisi ma-air hostess itakuwaje sasa
Na wafanyakazi wa banks na kwenye mahotel ya kitalii, manake ndo mavazi yetu sie

Mh..hakuna sheria kama hiyo.airhostess ni zamani ram sasa hivi wanaitwa(cabin crew or flight attendant)kuvaa nguo fupi ram ni mtu mwenyewe anahamua maana sehemu nyingi ni chini ya goti..watu ndio wanavunja sheria wanavaa nusu uchi..
 
Hata mimi naongelea mini sketi au gauni zinazoishia katikati ya goti au chini kidogo ya goti, sio mini za akina wema sepetu na akina aunt ezekiel, hata mimi sikubaliani na mini za hao wanaojiita mastaa. Vipi hawa vijana wanaovaa suruali chini ya makalio, sheria haijawatambua?


Mh..hakuna sheria kama hiyo.airhostess ni zamani ram sasa hivi wanaitwa(cabin crew or flight attendant)kuvaa nguo fupi ram ni mtu mwenyewe anahamua maana sehemu nyingi ni chini ya goti..watu ndio wanavunja sheria wanavaa nusu uchi..
 

Mkuu ya mambo yanategemea na interest ya mkuu wa kaya ndio maana Mswati anapenda kuangalia mabinti wakiwa uchu na hapa duniani kuna waswati wengi wanao shabikia kimya kimya.
 


Maandamano ya kkupinga agizo la wanawake kutovalia sketi fupi


Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha zenye watu uchi.
Wanawake pia wamezuiwa kabisa kuvalia sketi fupi sana au 'Mini Skirt' kama zinavyojulikana au blausi ambazo zinaonyesha kifua chao hadharani na kusababisha hisia za kingono .





Sheria hiyo inasema kuwa nguo kama hizo zitakubalika tu ikiwa zinatumika kwa ajili ya mafunzo au wakati wa michezo na hafla za kitamaduni.
Akihutubia waandishi wa habari, mjini Kapmala, waziri wa maadili na utawala bora, Reverend Simon Lokodo alisema kuwa Rais Museveni alipitisha sheria hiyo tarehe 6 mwezi huu, miezi mwili bada ya bunge kuipitisha.
Kwa mujibu wa sheria hiyo kamati dhidi ya vitendo hivyo itabuniwa ili iweze kutekeleza sheria hiyo kwa kuhakikisha kuwa picha, au video zenye watu uchi zinanaswa na kuharibiwa.
Kamati hiyo, itajumuisha watu kutoka katika sekta mbali mbali ikiwemo ya habari na utumbuizaji.
Sheria hiyo inasema kuwa mtu yeyote atakayepatikana akijihusisha na vitendo cya watu kuwa uchi, kuvalia nusu uchi , kuona sinema za watu wakiwa uchi au kuchapisha picha za watu walio uchi kwa lengo la kuleta hisia tofauti utachukuliwa hatua kali za kisheria.
Waziri alisema kuwa serikali haitaki watu kuvalia nguo zisizo na heshima na kuzua hisia zisizofaa miongoni mwa watu.
Watakaopatikana wakivunja sheria na kuvalia visivyo watafungwa hadi miak 10 na wale watakaopatiokana na hatia ya kuhusisha watoto katika biashara ya ngono watafungwa hadi miaka 15.





source; BBC
 

hapo mi mwenyewe nawaza inakuwaje..alieiona sheria yenyewe au mwenye jibu sahihi anifumbue
 
Habari zenu wana jf
raisi wa Uganda amepitisha sheria inayokataza uvaaji wa vimini na adhabu yake itakuwa kifungo cha miaka kumi jela
SOURCE BBC facebook page
 
Huko vimini vitakua vinarudisha maendeleo nyuma...maana naskia uganda kwa starehe ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…