matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi.
Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza.
Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu.
Bodaboda wawili wamepisha kidogo tu lakini hawajaumizana, wamepigana vibaya sana.
Kwa utafiti wangu nimegundua watu wengi kama sio mapepo yanawasumbua basi kuna level ya stress kubwa sana hapa jijini hasa ukiangalia wengi tunaishi kwa kulazimisha (kufosi) maisha.
Tuwe watu wa sala, tuwakumbuke sana ndugu zetu wa jiji la dar es salaam hasa wanaomiliki vyombo vya moto. Ni wakali sana na kila mtu amekaa tayari kwa mapambano.