Ugomvi barabarani ni ushahidi Dar es Salaam watu wengi wenye magari wanastress au levo ya mapepo iko juu barabarani msimu huu

Ugomvi barabarani ni ushahidi Dar es Salaam watu wengi wenye magari wanastress au levo ya mapepo iko juu barabarani msimu huu

Niseme tu usitembew na silaha kwenue chombo cha usafiri amin iko siku utanielewa unaweza fanya tukio ukajuta baadae
Nakumbuka nilipata ajali mwezi wa 7 niko kwenye site yangu vizuri tu bodaboda kaja uko sijui alikua anakimbilia wapi kaja kanivamia kwa mbele kavunja bampa,taa na kioo cha mbele mungu saidia ile ajali ilitokea karibu na bank flan so wale maaskari wa bank waliona kila kitu wakajakutuliza ile vurugu pale na walikua na silaha alafu usiku ila kama sio wale wajomba dah sijui aisee
 
town.jpg

Kwa hali hii stress lazima
 
It is called road rage:

A motorist's uncontrolled anger that is usually triggered by an action of another motorist and that is expressed in aggressive or violent behavior (from Merriam-Webster)

Road rage is aggressive or angry behavior exhibited by motorists. These behaviors include rude and verbal insults, yelling, physical threats or dangerous driving methods targeted at other drivers, pedestrians or cyclists in an effort to intimidate or release frustration. Road rage can lead to altercations, damage to property, assaults, and collisions that result in serious physical injuries or even death. Strategies include (but are not limited to) cutting motorists off, inappropriate honking, using obscene gestures, flipping off another driver, swerving, tailgating, brake checking, and physical confrontation. (From Wikipedia)
Nilikuwa sijui hii kitu
 
Sio hasira bali hakuna nidhamu katika uendeshaji wa vifaa vya moto
Wengi ni washamba waliovamia jiji, mpaka wanaoongoza magari wengi ni washamba aidha hawakukariri sheria au ni uzwazwa tu mradi wamevaa uniforms
Angalia takwimu za magari yanavyouwa watu nchini ukiangalia ulaya vifo ni vichache sana kwa mwaka ila kwetu kila siku ni vifo
Sababu ni kutokufuata sheria
Sasa mpaka vichaa wamo barabarani, walevi, bangi, viroba, unga kila mmoja hayuko sawa
Na alie na akili nae anakuwa mwehu pia
 
Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi.

Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza.

Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu.

Bodaboda wawili wamepisha kidogo tu lakini hawajaumizana, wamepigana vibaya sana.

Kwa utafiti wangu nimegundua watu wengi kama sio mapepo yanawasumbua basi kuna level ya stress kubwa sana hapa jijini hasa ukiangalia wengi tunaishi kwa kulazimisha (kufosi) maisha.

Tuwe watu wa sala, tuwakumbuke sana ndugu zetu wa jiji la dar es salaam hasa wanaomiliki vyombo vya moto. Ni wakali sana na kila mtu amekaa tayari kwa mapambano.
Kuna kpind nipo kino studio hapo...jamaa tu from knw where kashuka na kanzu yake kabeba jambia...kasimamisha gar iliyokuja nyuma yake....kashusha jambia kioo Cha mbele na akarud kwa gari yake akawasha na kuondoka ...hapo ndo nliamin mjini kuna vichaa wengi ila wamevalia smart na unaweza dhania ni watu wema ila ni chui
 
Back
Top Bottom