Ugomvi barabarani ni ushahidi Dar es Salaam watu wengi wenye magari wanastress au levo ya mapepo iko juu barabarani msimu huu

Niseme tu usitembew na silaha kwenue chombo cha usafiri amin iko siku utanielewa unaweza fanya tukio ukajuta baadae
Nakumbuka nilipata ajali mwezi wa 7 niko kwenye site yangu vizuri tu bodaboda kaja uko sijui alikua anakimbilia wapi kaja kanivamia kwa mbele kavunja bampa,taa na kioo cha mbele mungu saidia ile ajali ilitokea karibu na bank flan so wale maaskari wa bank waliona kila kitu wakajakutuliza ile vurugu pale na walikua na silaha alafu usiku ila kama sio wale wajomba dah sijui aisee
 
Nilikuwa sijui hii kitu
 
 
Kuna kpind nipo kino studio hapo...jamaa tu from knw where kashuka na kanzu yake kabeba jambia...kasimamisha gar iliyokuja nyuma yake....kashusha jambia kioo Cha mbele na akarud kwa gari yake akawasha na kuondoka ...hapo ndo nliamin mjini kuna vichaa wengi ila wamevalia smart na unaweza dhania ni watu wema ila ni chui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…