Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

Yuko sahihi, ulitakiwa uende ukawaachanishe. Japo usiongee chochote, uhakikishe tu hawapasuani
Unaongea tu mkuu. Kwenye suala la kuachanisha ugonvi mnatakiwa muwe zaidi ya mmoja. Penye ugonvi pana mengi. Wagombanao huwa hako sawa kifikra muda huo hivyo unaweza kudhurika na wewe. Hapa si swala la nguvu au ujasiri, maana unaweza chomwa hata kisu au chupa
 
Alitaka uwe mstari wa mbele kama wale mgambo wanaotangulizwa vitani ili wafe wa kwanza.

Kahama chumba muulize anachotaka, yaani wewe ukafe kisa ugomvi usioujua.

Miaka ya nyuma kidogo hapo mbezi walimpiga mbaba risasi kwenye saa nne usiku, hata polisi hawakuonekana mpaka hali ilipotulia.
😀😀 Nilimwonya sana, akianza mambo yake ya Ufeminist nitamwomba anipishe kwa kweli.
 
Acheni umbeya wewe na mkeo kuingilia umbeya wa watu ungeenda wangekugeuzia kibao, niliishi sehemu mke na mume daily kupigana nilikuwa siamulii na wakidundana kesho mahaba ka yote kimoyo moyo nilikuwa nasema uaneni tu mtajiju nani wakuwa shahidi wa jamhuri
Na kitu kimoja ni kuwa watu wanaogombana huwa hawagombani siku moja tu. Wengi huwa ni kawaida yao. Utawaamulia hadi lini maana mwishowe watakuingiza kwenye ugomvi wao, "Muulizeni cariha , anajua yote."
 
Unaongea tu mkuu. Kwenye suala la kuachanisha ugonvi mnatakiwa muwe zaidi ya mmoja. Penye ugonvi pana mengi. Wagombanao huwa hako sawa kifikra muda huo hivyo unaweza kudhurika na wewe. Hapa si swala la nguvu au ujasiri, maana unaweza chomwa hata kisu au chupa
Basi ndo utafte hao wenzio haraka ili ukawasaidiw wenzio. Kumbuka nawe ipo siku utakuwa na jambo lako nao watakukaushia
 
Na kitu kimoja ni kuwa watu wanaogombana huwa hawagombani siku moja tu. Wengi huwa ni kawaida yao. Utawaamulia hadi lini maana mwishowe watakuingiza kwenye ugomvi wao, "Muulizeni cariha , anajua yote."
Hili ni kweli kabisa nimejitahidi kusovu ugomvi wa best yangu na mkewe zaidi ya Mara 3 ,yaani wanaachana wanarudianax3 gomvi linaibuka Tena mpk nikanyoosha mikono juu..

Mke kaenda kuolewa kwingine nasikia ameachika wanatakana Tena🙌🙌
 
Kama siyo drama ni nini? Baadaye wanaanza kusema muulizeni hata Nurain
 
Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.

Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.

Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus [emoji590], huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.

Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.

Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.

Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.

Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.

Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi

Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.

Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.

Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.

Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.

Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
Mnatuchosha mda mwingine
 
Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.

Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.

Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus 🚌, huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.

Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.

Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.

Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.

Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.

Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi

Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.

Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.

Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.

Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.

Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
kisirani cha mke wako kinaanza panda kichwani…
 
Hili ni kweli kabisa nimejitahidi kusovu ugomvi wa best yangu na mkewe zaidi ya Mara 3 ,yaani wanaachana wanarudianax3 gomvi linaibuka Tena mpk nikanyoosha mikono juu..

Mke kaenda kuolewa kwingine nasikia ameachika wanatakana Tena🙌🙌
At least uwe mnafahamiana eti.
 
Back
Top Bottom