mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
naomba tuishie hapa mkuu 😂 sitafuti shari....Acha wivu mkuu.
Wewe pambana kivyako bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba tuishie hapa mkuu 😂 sitafuti shari....Acha wivu mkuu.
Wewe pambana kivyako bana.
Poa.naomba tuishie hapa mkuu 😂 sitafuti shari....
Sipo kwenye maamuzi ya kwanini hajaenda kuna usahihi wa kutokwenda..Mkuu wewe ungeenda ?? Kuufuata ugomvi usioujua usiku wa manane ni kufuata jinai ya bure...
Ugomvi wa Wanandoa unaotumia maneno zaidi hua anashindaga Make. While ugomvi unaotumia zaidi nguvu hua anashindaga Mume, Ceteris Peribus.Sikatai, nafikiri sikuwa na haja ya kuingilia kwa wakati ule.
❤🥰🤗Upendo wa mashaka huu View attachment 2606482
😘😘😘😘😍😍😍
lione.... 😂 hapo ukute una miaka 30+......😂😘😘😘😘😍😍😍
22 mkuu.lione.... 😂 hapo ukute una miaka 30+......😂
utapata stroke kweli we haya 😂22 mkuu.
Usiwaze mkuu.utapata stroke kweli we haya 😂
Mm nilimtoa jamaa police kapelekwa na mkewe baada ya wk nikakutana nao wameshikana mahaba mazito,,Ugomvi wa MKE na mume hauamuliwi wache wayamalize wenyewe.mwaka Jana pale kwenu mamba royal complex jamaa aligombana na mke wake nikaenda kuamulia kistaarabu kilichonikuta ni kuambulia chupa ya bia kichwani ndo mana m ugomvi was mke na mume Huwa c amuliiagi waache wauane mkuu
Ulifanya Jambo la msingi Sana kutoenda na hiyo ndiyo busara,,,,Uzuri wa mtu ni kutoingilia yasiyomuhusu,ungekimbilia huwezi jua yangekukuta makubwaWakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus 🚌, huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
🤣🤣🤣 umeua!!Naijua hyo imewahi nikuta[emoji23][emoji23]
Kuamuli ugomvi wa watu ni kipengele
Ilikuwa hivi......dada na dogo( wakike) wanagombana sehemu tulipo rent mwanaume nilibaki peke yangu .....ikabidi nikimbilie kumdaka sister.....iseeh sitakuja kusahau kama mnavyojua pisi za kinyaki ( kama zinapiga gym[emoji23][emoji23]). Kidume nilirushwa mbali huko na kwenda kupiga kiuno kwenye msingi wa nyumba ...nlikula [emoji125][emoji125][emoji125]
Shida iko wapi kwani?Sipo kwenye maamuzi ya kwanini hajaenda kuna usahihi wa kutokwenda..
Nipo kwenye mwanamke wake ana jeuri gani ya kumsusia kitanda kwenda kulala kwingine, tayari hapo kuna mushkeli
Lakini pia hizi si habari nzito kwa mwanaume kusimulia simulia na kutaka ushauri.
Mkeo analiwa na jamaa nini, maana anajali sana. Alitaka nawe uende ukahakikishe kama jamaa ana mtu ndani ya nyumba ili asiendelee tena kuliwa na jamaa baada ya kupata uhakika. Huyo mkeo alitaka nawe uende ukamshike ugoni huyo jamaa ili yeye apate kisingizio cha kumtema, kuondoka kwake chumbani kwako ilikuwa si hasira kwako ila alikuwa ana hasira tu na huyo jamaa kuwa na mchepuko hapo kwake. Wanawake wana ujinga wa hajabu saną.Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus 🚌, huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno[emoji23][emoji23]Naijua hyo imewahi nikuta[emoji23][emoji23]