KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
- Thread starter
- #61
Yeah!!Mwamba amlie buyu hivo hivo akilegexa atamtesa sana ndio maana kaenda mfanyia mfujo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah!!Mwamba amlie buyu hivo hivo akilegexa atamtesa sana ndio maana kaenda mfanyia mfujo
Upatanishi kwa watu unaowafahamu sawa.Punguza ubinafsi, kuwa mpatanishi.
Ugomvi zao Huwa haziishi Mimi neighbor wangu kila siku alikuwa anagombana na mumewe kisa michepuko wanaanza kupigana Hadi kumdondosha mtoto then kesho wamepatana loh Mimi nilikuwa sihangaiki Kuna watu raha ya mapenzi wagombane ndio raha kwaoNa kitu kimoja ni kuwa watu wanaogombana huwa hawagombani siku moja tu. Wengi huwa ni kawaida yao. Utawaamulia hadi lini maana mwishowe watakuingiza kwenye ugomvi wao, "Muulizeni cariha , anajua yote."
Kumbe ndio zako eheee 😃Wewe jamaa sio mbea kabisa yaani.
Ulipaswa kwenda na kuhakikisha wanakusimulia chanzo cha ugomvi wao.
Tena hawapiganii kwako, hawakupiganii wewe kwanini uingilie kama ni utaratibu wao je 😅😅Watu wengi wameuawa kwa kuingilia ugomvi usiowahusu.
Wenye hasira waache watandikane kwanza...wameshiba ndio maana wanapigana
Au iliingia msg ya mchepuko kwenye simu ya mmoja wao wakawa wanaigombea 😄😄Ukute walinyimana usiku huo
Kivipi?hapo alikuwa anakutafutia sababu ili akachepuke, cha msingi msubiri aliwe huko na namna atavyoumaliza huo ugomvi hautakaa ujue nini kilitokea.
sawa uncoward...Kama mambo yenyewe ndo haya Basi wanaume tunapungua kwa Kasi Sana.
Your wife just got married to a coward and timid boy who's typically you.
Jibu kwanza pyiiemu zangu.Kumbe ndio zako eheee 😃
😃😃 weka picha nioneJibu kwanza pyiiemu zangu.
Nakonda kwa mawazo.
Upendo wa mashaka huu😃😃 weka picha nione
Kijana unatongoza kupitia mistari ya bibilia 😂 huna haya??😂Upendo wa mashaka huu View attachment 2606482
Tandika makofi hiyo ng'ombeWakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus 🚌, huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
Namuelewesha tu huyo mrembo kuwa upendo hauna masharti.Kijana unatongoza kupitia mistari ya bibilia 😂 huna haya??😂
Depal hapa hapana aisee huyu ni mlokole atakupiga maombi mpaka upauke 😂Namuelewesha tu huyo mrembo kuwa upendo hauna masharti.