Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Labda alitamani mme akafie pale abaki akichakatwaMf angeenda. Akakutane na kisu kinarushwa, kimpate cha uso.
Angemlaumu nani?
Mke wake angebaki na majuto kwanini kamwambia aende.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alitamani mme akafie pale abaki akichakatwaMf angeenda. Akakutane na kisu kinarushwa, kimpate cha uso.
Angemlaumu nani?
Mke wake angebaki na majuto kwanini kamwambia aende.
Shida ni moja tu wanaume wa siku hizi hatuna vifua kabisa .. sisi kwetu ni miongoni mwa makatazo makubwa kutoa Siri za ndani, mpk wanangu wanasema baba mpole Sana kumbe Kuna muda nakiwasha na wife na watoto hawajui...moja ya watu walioharamishiwa pepo ni hawa wasioweza kutunza faragha hasa na mke na mume iwe kwa anonymous au vyovyote haifai...Sipo kwenye maamuzi ya kwanini hajaenda kuna usahihi wa kutokwenda..
Nipo kwenye mwanamke wake ana jeuri gani ya kumsusia kitanda kwenda kulala kwingine, tayari hapo kuna mushkeli
Lakini pia hizi si habari nzito kwa mwanaume kusimulia simulia na kutaka ushauri.
Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus [emoji590], huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
Pale ndipo nlipata somo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeua!!
Hataree baadae natoka ndani ....huku natembea upande upande kutokana na painDah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno[emoji23][emoji23]
Ni kweli aisee, hapo mwanamke wako kwako amepigwa ndoinge. Wewe siyo kabisa kwa uliyofanya. Yani jirani zako wanauana wewe njemba umejilaza kitandani umeweka na pozi kabisa!Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus 🚌, huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
School mate wangu mwaka juzi nasikia alikufa kwa kuchomwa kisu, ulikua ugomvi kama huu akaenda kuamulia akaishia kuchomwa kisu Tena unaambiwa ni majirani wa muda mrefu tuWakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
[emoji23][emoji23][emoji23]ulitembea kama umekata centerbolt[emoji23][emoji23][emoji119]Hataree baadae natoka ndani ....huku natembea upande upande kutokana na pain
Nawakuta wapo nje wanapiga stori.......walivoniona wakaanza kunicheka ......from there nliapa ata wakiuana fresh tu...bullshit
mmekutana nyote akili mbovuWakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus [emoji590], huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
Wanaume wanazidi kupungua kabisa, yaani jamaa wengine wanataka jamaa ashindwe kusimama kama mwanaume katika nyumba yake aanze kurespond hovyo hovyo kwa emotions za mke wake.Alitaka uwe mstari wa mbele kama wale mgambo wanaotangulizwa vitani ili wafe wa kwanza.
Kahama chumba muulize anachotaka, yaani wewe ukafe kisa ugomvi usioujua.
Miaka ya nyuma kidogo hapo mbezi walimpiga mbaba risasi kwenye saa nne usiku, hata polisi hawakuonekana mpaka hali ilipotulia.
Mwanaume hutakiwi kuendeshwa na emotions za mkeo, utatakiwa ufanye maamuzi logically. Mambo yakikuharibikia hata mke wako anakugeuka pia. Atatafuta weak point atakugeukia hapo hapo.Unaongea tu mkuu. Kwenye suala la kuachanisha ugonvi mnatakiwa muwe zaidi ya mmoja. Penye ugonvi pana mengi. Wagombanao huwa hako sawa kifikra muda huo hivyo unaweza kudhurika na wewe. Hapa si swala la nguvu au ujasiri, maana unaweza chomwa hata kisu au chupa
Leo nmepata SoMo la maisha .coz hata Mimi nikiwa napigana ...then itokee nammudu mpinzani. Atakayekuja kuamua lazima nmpe kichapo heav....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulitembea kama umekata centerbolt[emoji23][emoji23][emoji119]
Kuna jamaa kwa ujinga wa kukimbilia ugomvi alitobolewa jicho.
[emoji23][emoji23][emoji119]Leo nmepata SoMo la maisha .coz hata Mimi nikiwa napigana ...then itokee nammudu mpinzani. Atakayekuja kuamua lazima nmpe kichapo heav....[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa sio mbea kabisa yaani.
Ulipaswa kwenda na kuhakikisha wanakusimulia chanzo cha ugomvi wao.
Mke wako ni mpumbavu tu na mbea. Alitaka uende ili ukapate taarifa rasmi. Hajui madhara ya wewe kwenda ingilia ugomvi wa watu usiowafahamu? Hajui unaweza uawa au jeruhiwa? Hajui unaweza patwa na dhahma hata kusingiziwa mauaji? Aache upumbavu. Leo kama ameendelea na hiyo tabia. Mtandike makofi mpaka alie asubiri kuja ona nani anakuja na kiherehere kuamulizia.Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.