Unaongea tu mkuu. Kwenye suala la kuachanisha ugonvi mnatakiwa muwe zaidi ya mmoja. Penye ugonvi pana mengi. Wagombanao huwa hako sawa kifikra muda huo hivyo unaweza kudhurika na wewe. Hapa si swala la nguvu au ujasiri, maana unaweza chomwa hata kisu au chupaYuko sahihi, ulitakiwa uende ukawaachanishe. Japo usiongee chochote, uhakikishe tu hawapasuani
๐๐ Nilimwonya sana, akianza mambo yake ya Ufeminist nitamwomba anipishe kwa kweli.Alitaka uwe mstari wa mbele kama wale mgambo wanaotangulizwa vitani ili wafe wa kwanza.
Kahama chumba muulize anachotaka, yaani wewe ukafe kisa ugomvi usioujua.
Miaka ya nyuma kidogo hapo mbezi walimpiga mbaba risasi kwenye saa nne usiku, hata polisi hawakuonekana mpaka hali ilipotulia.
Siku ukidundwa kujifanya unagombelezea usiyoyajua ndipo utapata kuelewa nini maana ya ngoswe muachie ngosweMfano wangeuwana pale, angejiskiaje watu wamepoteza maisha na hakufanya chochote?
Si mchezo, ni wale wanaoona wenyewe wanaweza kila kitu, so alijua jamaa atamtafuta! Mwamba hajahangaika nae.Huyo dada naye kichomi huyo kaka amwache tu
Punguza ubinafsi, kuwa mpatanishi.Siku ukidundwa kujifanya unagombelezea usiyoyajua ndipo utapata kuelewa nini maana ya ngoswe muachie ngoswe
Mwamba amlie buyu hivo hivo akilegexa atamtesa sana ndio maana kaenda mfanyia mfujoSi mchezo, ni wale wanaoona wenyewe wanaweza kila kitu, so alijua jamaa atamtafuta! Mwamba hajahangaika nae.
Na kitu kimoja ni kuwa watu wanaogombana huwa hawagombani siku moja tu. Wengi huwa ni kawaida yao. Utawaamulia hadi lini maana mwishowe watakuingiza kwenye ugomvi wao, "Muulizeni cariha , anajua yote."Acheni umbeya wewe na mkeo kuingilia umbeya wa watu ungeenda wangekugeuzia kibao, niliishi sehemu mke na mume daily kupigana nilikuwa siamulii na wakidundana kesho mahaba ka yote kimoyo moyo nilikuwa nasema uaneni tu mtajiju nani wakuwa shahidi wa jamhuri
Kuna mtu aliuliwa kisa kiherehere Cha upatanishiPunguza ubinafsi, kuwa mpatanishi.
Mkuu wewe ungeenda ?? Kuufuata ugomvi usioujua usiku wa manane ni kufuata jinai ya bure...Wanaume tunaishia.. hivi siku hizi ndio watu wanapewa pewa tu wake bila kuangalia huyu jamaa dhamana ama si dhamana.
Basi ndo utafte hao wenzio haraka ili ukawasaidiw wenzio. Kumbuka nawe ipo siku utakuwa na jambo lako nao watakukaushiaUnaongea tu mkuu. Kwenye suala la kuachanisha ugonvi mnatakiwa muwe zaidi ya mmoja. Penye ugonvi pana mengi. Wagombanao huwa hako sawa kifikra muda huo hivyo unaweza kudhurika na wewe. Hapa si swala la nguvu au ujasiri, maana unaweza chomwa hata kisu au chupa
Na wapo wengi tu waliokoa maisha kwa kuachanisha wagombanaoKuna mtu aliuliwa kisa kiherehere Cha upatanishi
Hili ni kweli kabisa nimejitahidi kusovu ugomvi wa best yangu na mkewe zaidi ya Mara 3 ,yaani wanaachana wanarudianax3 gomvi linaibuka Tena mpk nikanyoosha mikono juu..Na kitu kimoja ni kuwa watu wanaogombana huwa hawagombani siku moja tu. Wengi huwa ni kawaida yao. Utawaamulia hadi lini maana mwishowe watakuingiza kwenye ugomvi wao, "Muulizeni cariha , anajua yote."
Kama siyo drama ni nini? Baadaye wanaanza kusema muulizeni hata NurainHili ni kweli kabisa nimejitahidi kusovu ugomvi wa best yangu na mkewe zaidi ya Mara 3 ,yaani wanaachana wanarudianax3 gomvi linaibuka Tena mpk nikanyoosha mikono juu..
Mke kaenda kuolewa kwingine nasikia ameachika wanatakana Tena๐๐
Mnatuchosha mda mwingineWakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus [emoji590], huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
kisirani cha mke wako kinaanza panda kichwaniโฆWakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati za Asubuhi.
Jamaa huwa anampeleka mtoto wake kupanda school bus ๐, huyo mtoto anaweza kuwa class Four au Three.
Ni kijana mpole sana, kwa mwonekano.
Kutoka kwenye Nyumba yake hadi kwetu ni kama mita 10-15.
Na nafikiri kwenye hiyo nyumba anaishi na huyo mtoto tu, au sijui kwasababu nimewahi kuwaona wao tu na ni asubuhi tu, Tunaokaa Nje ya mji tunaamka mapema sana kukimbizana na foleni, na tunarudi mida imeenda.
Sasa juzi kumetokea varangati ambalo limeleta mtafaruku.
Mida ya Saa Sita kasoro hivi usiku, tulianza kusikia kelele za Mwanamke kama vile anadai kitu, kutokea kwa jirani yetu huyo, zilianza chini chini hivi na baadae zikapanda.
Niliweza kusikia maneno machache na Jamaa akawa anaongea kwa hasira na kwa nguvu.
Wakaanza kutukanana, tusi kubwa ni kuitana Malaya, Jamaa anamwambia huyo Mwanamke wewe ni Malaya tu, yeye anamjibu Malaya ni wewe na baba yako, na maneno mengine mengine wakati huo kama vile kuna kitu wanagombania, inawezekana ni funguo.
Huyo Mwanamke anasisitiza jamaa ampe, mwamba kakaza, sasa sijui alikuwa amemshika kwasababu purukushani zilikuwa kubwa, Jamaa anamwambia atampasua, anamjibu huwezi kunifanya kitu ma.l.aya mkubwa wewe!!.
Hapo wife wangu yuko Dirishani anawasikiliza, mimi niko Kitandani sikutaka kuamka kabisa, gafla yule Mwanamke akapiga yowe moja la juu kabisa, kwa nyumba zilivyo sisi ndio tuko nao karibu kuliko nyumba za majirani wengine. Mabishano yao yalikuwa yamedumu kama dakika 15 hivi
Baada ya lile yowe la mwisho, nikasikia mkurumo wa gari, Wife akaniambia huyo jamaa anaondoka amka ukamzuie au ujue amemfanyia nini huyo Mwanamke, nikashtuka kidogo! Ile natafakari kwenye ile nyumba taa za ndani zikazimwa.
Wife akaniambia kuna mtu, huko ndani ila Kelele za yule Mwanamke na Jamaa hazikusikika tena. Wakati wote huo wife alikuwa anatamani niende nikaamulie huo ugomvi ambao sijui lolote.
Sasa gafla naona wife anachukua mto wake (pillow) anasema anaenda kulala chumba kingine, simply kwasababu nilishindwa kutoka na kuanza kunilaumu kwa mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, ananiambia sina msaada wowote ule.
Wakuu kosa langu hapo ni lipi?
Unawezaje kuingilia ugomvi ambao hujui ulikotokea?
Naambiwa nina roho mbaya, kisa sikwenda na mimi dirishani kujaribu kuangalia kinachoendelea.
Ndoa ina miaka 6 hii ila bado sijamfahamu vizuri huyu wife wangu...Nahisi ana vichembe chembe vya u feminist.
Si mchezo mkuu.Wewe jamaa sio mbea kabisa yaani.
Ulipaswa kwenda na kuhakikisha wanakusimulia chanzo cha ugomvi wao.
Umechoka na nini JombaaMnatuchosha mda mwingine
At least uwe mnafahamiana eti.Hili ni kweli kabisa nimejitahidi kusovu ugomvi wa best yangu na mkewe zaidi ya Mara 3 ,yaani wanaachana wanarudianax3 gomvi linaibuka Tena mpk nikanyoosha mikono juu..
Mke kaenda kuolewa kwingine nasikia ameachika wanatakana Tena๐๐