Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Nakaaya amejibu vizuri Sana katumia hekima kuficha ya nyumbani kwao,lakin mange asingeongea tusingejuaaa aiseee

Mi nilikua nimeskia juu kwa juu. Hafu hapo ukute ni watu close wamesambaza hizo habari zilikua chini kwa chini sasa wengi ndo wamejua.
 
Wenu katika umbea.........

Naona Linda anatumia fursa hapo
 
Attachments

  • 1433266248471.jpg
    66.4 KB · Views: 667
  • 1433266282352.jpg
    53.3 KB · Views: 627
  • 1433266305088.jpg
    63.2 KB · Views: 608
  • 1433266328145.jpg
    72.3 KB · Views: 624
Huyo Gaidi CIA watamfata huku huku Tanzania.....Mtu mwenyewe Gaidi still wanatembea nae anahic atakuwa Mullah Omar aiseee wana roho ngumu sana hao wadada

Hahaha may be tour guide manake na wao wanaitwa gaidi hahahaha nimecheka kufa
 
Utofauti katika familia ni jambo la kawaida sana....kama alikuwa na nia nzuri yakuwapatanisha angewatafuta nakuwaeleza A,B,C lakini nahisi kuchafuana zaidi na lengo hasa ukiisoma ile post ni kuwatawanyisha kundi la Nancy
 
She has a green card ... Bana ... She's not illegal ...
 
Utofauti katika familia ni jambo la kawaida sana....kama alikuwa na nia nzuri yakuwapatanisha angewatafuta nakuwaeleza A,B,C lakini nahisi kuchafuana zaidi na lengo hasa ukiisoma ile post ni kuwatawanyisha kundi la Nancy

Hivi kuna yule aliyeandika kuwa Faraja katangaza kuwa klyn na Machache walifungishwa ndoa na mfanyakazi wa hotel mhhh mi nahisi ni mzushi wa kugombanisha. Ila watu wana mambo makubwa.
 
Hivi kuna yule aliyeandika kuwa Faraja katangaza kuwa klyn na Machache walifungishwa ndoa na mfanyakazi wa hotel mhhh mi nahisi ni mzushi wa kugombanisha. Ila watu wana mambo makubwa.

Hyo ndo mission yake....ila imeabbot.Nakaaya kaandika simple lakini kaeleweka,na hataki malumbano
 
Hyo ndo mission yake....ila imeabbot.Nakaaya kaandika simple lakini kaeleweka,na hataki malumbano

Lakini damage tayari hapo kila mtu atamwangalia mwenzake kwa jicho la tatu . Watu wamejua A to Z.
 
ndo aruhusu hadi comments za kina kyln kweli na ndoa yao?
 
ndo aruhusu hadi comments za kina kyln kweli na ndoa yao?

Kazi kweli kweli niliona ile ya Faraja Mpaka nikashangaa. Ila inaonyesha watu hawaaminiani wenyewe. Hata hyo issue ya Nancy na dadake ni close friend ndo lazima alitoa taarifa.
 
Lakini damage tayari hapo kila mtu atamwangalia mwenzake kwa jicho la tatu . Watu wamejua A to Z.

A to Z hapana aliyejua ingawa katika hili jambo Nancy litamsumbua.Na lile kundi litakuja sarambatika....tulipe muda.
 
Sanaaa....nmependa sana.Mpaka kajishtukia na alivyo hana aibu akamsifia.Nakaaya ameelimika na akili imetulia ktk swala hili.

ngoja kesho mamaa evidences na mamavivid examples aje live na encycleopidia
watajuta nancy na nakaaya
 
ngoja kesho mamaa evidences na mamavivid examples aje live na encycleopidia
watajuta nancy na nakaaya

Amesema kesho ndo anashusha hzo nondo?kama yeye anasema amewapatanisha basi hakuna haja ya evidence yoyote.
Me naona wangeacha na hii issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…