Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Nakaaya amejibu vizuri Sana katumia hekima kuficha ya nyumbani kwao,lakin mange asingeongea tusingejuaaa aiseee

Mi nilikua nimeskia juu kwa juu. Hafu hapo ukute ni watu close wamesambaza hizo habari zilikua chini kwa chini sasa wengi ndo wamejua.
 
Wenu katika umbea.........

Naona Linda anatumia fursa hapo
 
Attachments

  • 1433266248471.jpg
    1433266248471.jpg
    66.4 KB · Views: 667
  • 1433266282352.jpg
    1433266282352.jpg
    53.3 KB · Views: 627
  • 1433266305088.jpg
    1433266305088.jpg
    63.2 KB · Views: 608
  • 1433266328145.jpg
    1433266328145.jpg
    72.3 KB · Views: 624
Huyo Gaidi CIA watamfata huku huku Tanzania.....Mtu mwenyewe Gaidi still wanatembea nae anahic atakuwa Mullah Omar aiseee wana roho ngumu sana hao wadada

Hahaha may be tour guide manake na wao wanaitwa gaidi hahahaha nimecheka kufa
 
Utofauti katika familia ni jambo la kawaida sana....kama alikuwa na nia nzuri yakuwapatanisha angewatafuta nakuwaeleza A,B,C lakini nahisi kuchafuana zaidi na lengo hasa ukiisoma ile post ni kuwatawanyisha kundi la Nancy
 
Chembe ya uhalisia si uhalisia hata kidogo. Ulitaka akae kimya hata kama ni ya uongo? Hujui kwamba uongo ukirudiwa mara nyingi watu wajinga wajinga huanza kuuamini? Mtu anayechafuliwa jina na sifa kwa makusudi si busara kwake kukaa kimya. Huyo blogger hajatoa ushahidi wowote ule. Kaandika tu. Kuandika tu si kutoa ushahidi.

She has a green card ... Bana ... She's not illegal ...
 
Utofauti katika familia ni jambo la kawaida sana....kama alikuwa na nia nzuri yakuwapatanisha angewatafuta nakuwaeleza A,B,C lakini nahisi kuchafuana zaidi na lengo hasa ukiisoma ile post ni kuwatawanyisha kundi la Nancy

Hivi kuna yule aliyeandika kuwa Faraja katangaza kuwa klyn na Machache walifungishwa ndoa na mfanyakazi wa hotel mhhh mi nahisi ni mzushi wa kugombanisha. Ila watu wana mambo makubwa.
 
Hivi kuna yule aliyeandika kuwa Faraja katangaza kuwa klyn na Machache walifungishwa ndoa na mfanyakazi wa hotel mhhh mi nahisi ni mzushi wa kugombanisha. Ila watu wana mambo makubwa.

Hyo ndo mission yake....ila imeabbot.Nakaaya kaandika simple lakini kaeleweka,na hataki malumbano
 
Kwani hao kina Nancy ndo wa kwanza kuandikwa mitandaoni jamani. Naona ukiwa celebrity kubali kuandikwa kwa yote mazuri na mabovu.
Hyo ndo hasara ya kujulikana mastar wengi tu huandikwa mitandaoni vitu vyao hadi wanasiasa huandikwa negative zao. Sema tu yeye ndo aka publish ka blogger yoyote mi hiki kitu niliskia mda. Sema hao watu hawakupeleka kwa shingongo tu.

ndo aruhusu hadi comments za kina kyln kweli na ndoa yao?
 
ndo aruhusu hadi comments za kina kyln kweli na ndoa yao?

Kazi kweli kweli niliona ile ya Faraja Mpaka nikashangaa. Ila inaonyesha watu hawaaminiani wenyewe. Hata hyo issue ya Nancy na dadake ni close friend ndo lazima alitoa taarifa.
 
Lakini damage tayari hapo kila mtu atamwangalia mwenzake kwa jicho la tatu . Watu wamejua A to Z.

A to Z hapana aliyejua ingawa katika hili jambo Nancy litamsumbua.Na lile kundi litakuja sarambatika....tulipe muda.
 
Sanaaa....nmependa sana.Mpaka kajishtukia na alivyo hana aibu akamsifia.Nakaaya ameelimika na akili imetulia ktk swala hili.

ngoja kesho mamaa evidences na mamavivid examples aje live na encycleopidia
watajuta nancy na nakaaya
 
ngoja kesho mamaa evidences na mamavivid examples aje live na encycleopidia
watajuta nancy na nakaaya

Amesema kesho ndo anashusha hzo nondo?kama yeye anasema amewapatanisha basi hakuna haja ya evidence yoyote.
Me naona wangeacha na hii issue
 
Back
Top Bottom