Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 743
Ina tibaIna mafuta futa fulani huitwa cholesterol, Hiyo colesterol ikiisha sagwa mabaki yake mojawapo ni uric acid, hizi uric acid zimefanana kama misumali midogo (needle shaped). Mwili hutoa mabaki hayo kwa njia ya mkojo lakini kabla hayajatolewa hupita sehemu mbali mbali mwilini. Kwa mfano hizi uric acid zikifika kwenye joint hasa za vidole gumba vya miguuni huwa zinakwama pale, shauri ya hizo vimisumari (needle shape) basi hufanya joint iume sana maumivu makali na vidole gumba kimoja au vyote huvimba na kuwa na maumivu makali sana sana . Hiyo hali ndo huitwa GOUT, usisikieae gout inauma sana.
Hiyo GOUTIna tiba
Mm nyama nyekundu hapana kabisaduuh nashkuru mbuzi nimewahi kula Mara 2 tuuuh
Ina tiba
Usihof mimi huwa nakula mbuzi choma balaa.....mbuzi ni kweli nyama yake ina acid nyingi.....lkn pindi ukiisha kula kunywa maji yenye PH8....kwa mfano maji ya ndanda...ama unaweza kuchanganya maji yanye PH 7....mfano maji ya Kilimanjaro na kidonge cha magnesium....ili kuongeza PH kati ya nane mpaka tisa...kisha kunywa ....kimsingi ina nutrolise acid yote....msiogope kula mbuzi kwa tishio la gout mkajinyima raha....those above are the preventive measures....pls continue to enjoy goat meat ......Ina mafuta futa fulani huitwa cholesterol, Hiyo colesterol ikiisha sagwa mabaki yake mojawapo ni uric acid, hizi uric acid zimefanana kama misumali midogo (needle shaped). Mwili hutoa mabaki hayo kwa njia ya mkojo lakini kabla hayajatolewa hupita sehemu mbali mbali mwilini. Kwa mfano hizi uric acid zikifika kwenye joint hasa za vidole gumba vya miguuni huwa zinakwama pale, shauri ya hizo vimisumari (needle shape) basi hufanya joint iume sana maumivu makali na vidole gumba kimoja au vyote huvimba na kuwa na maumivu makali sana sana . Hiyo hali ndo huitwa GOUT, usisikieae gout inauma sana.
Gout haisababishwi na kula mbuzi bali wagonjwa wa gout wanashauriwa kutokula mbuzi kwa sababu mgonjwa wa gout hawezi kutoa vizuri uric acid n.k. katika mkojo wakeduuh nashkuru mbuzi nimewahi kula Mara 2 tuuuh
Hautabaki salama.duuh nashkuru mbuzi nimewahi kula Mara 2 tuuuh