Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

asante michelle,
mtu anategemea asemeshwe na mjinga
sasa sijui asemeshwe ujinga????
Ili huo ujinga uendelee kumuudhi

akinyamaziwa napo analalamika
pasua kichwa, labda uwe na kidumu haya mambo ndo utayaweza.

...lol, haya basi ushasameheka...maana hizo za kuchomoa cable balaa!
Sie wengine ni homebound...hatuna hulka za kwenda kwenye vikao,...
ukishanichomolea starehe ya TV utakuwa unanitafutia sababu nikalale, au?
 
mhhhhh
hadi natetemeka hapa na reaction yako hiii lol

Lol...utetemeke wewe? muone sura yako....!

watu wanaudhi sana,mtu anakuambia tukutane saa fulani, anaongeza hapo lisaa,halafu wala hawezi sema samahani, anatarajia wewe umchekee tu na maisha yaendelee....anasubiri aambiwe kakosea....kweli? Mi sisemi,if una nafasi kwenye moyo wangu,lazima ujue kuwa hilo ni kosa kwa matendo yangu including kununa na kususa mialiko yako....lol....kwanza wengine tukinuna ndo tunapata better treatment na kuwa spoiled...we take problems as opportunities lol....na kama kuna kitu kingine hajawai kusema,if you treat her well, she will say it and and then fresh beginning.....hapa ni kwa wale wenye mapenzi ya kweli, wapita njia wao ukifanya hivi,anakuhama...lol
 
mhhhh itabidi nithibitishe kama hudanganyi hapa lol
 
asante michelle,
mtu anategemea asemeshwe na mjinga
sasa sijui asemeshwe ujinga????
Ili huo ujinga uendelee kumuudhi

akinyamaziwa napo analalamika
pasua kichwa, labda uwe na kidumu haya mambo ndo utayaweza.

sasa hili gubu aisee lol
 
kumbe mpo wachache?
Sijui kama ni wachache au sio wachache ila mimi sijui kununa, najua kukasirika tu.
And when mad, I take loud action watu wajue kilicho nikera.
Sio hiyo unaweka midomo kama umehisi harufu mbaya, ukiulizwa unasema all is fine. lol
 
exactly....hivo ndio inatakiwa ......
 
Kaa nao tu
baada ya miaka 5 utakuwa na opinion taofauti
hasa unapofanyiwa kusudi kila siku
kwa kitu kile kile
kwa sasa bora uwe hivyo hivyo
which is good, thumb up!

Sijui kama ni wachache au sio wachache ila mimi sijui kununa, najua kukasirika tu.
And when mad, I take loud action watu wajue kilicho nikera.
Sio hiyo unaweka midomo kama umehisi harufu mbaya, ukiulizwa unasema all is fine. lol
 
asante michelle,
mtu anategemea asemeshwe na mjinga
sasa sijui asemeshwe ujinga????
Ili huo ujinga uendelee kumuudhi

akinyamaziwa napo analalamika
pasua kichwa, labda uwe na kidumu haya mambo ndo utayaweza.

Ndo dawa yao...unamfundisha kwa matendo...aone uzito kutamka ovyo....!!

Hapo kwa Kidumu sasa, vidumu vyenyewe vyaweza kuudhi zaidi....unakihudumia kikakuita malaya,wafanya nini na mimi una bwana ako?? Si ndo utakasirika zaidi....huyo huyo mfundishe hadi aelewe....lol....kuna thread moja nimekuona Kongosho wangu...uko juu!
 
Kaa nao tu
baada ya miaka 5 utakuwa na opinion taofauti
hasa unapofanyiwa kusudi kila siku
kwa kitu kile kile
kwa sasa bora uwe hivyo hivyo
which is good, thumb up!
Sijui kama huko mbele nitakuja kubadilika ila kwa kweli ukiona sisemi maana yake sikereki, au kimenikera ila nimeamua kumezea, na namezea hadi hasira, maisha yanaendelea kama kawaida. Kama kinaniudhi au kuniuma sana basi nitasema tu. Ila hiyo ya kukaa kimya huku nikitarajia kua alie niudhi ataelewa na atajirudi... naaaaah
 
Mie tena nimekuwa juu???
Wapi huko?
Ngoja nianze kupekua pekua humu ndani

Mwali, kama mwanaume wako anakuelewa vizuri atajirudi tu na ataelewa kuna sehemu amekosea akikuona uko tofauti....mimi siwezi kumfuata mwanaume kaniita mjinga,kumuuliza hapo hapo au muda mfupi baada ya kufanya hivyo...kwanza nakuwa nina hasira,tutaishia tu kugombana....waga najinyamazia zangu,aende zake,tukionana tena yeye kasahau,mi nakumbuka,atanisoma tu na sijawahi kufeli kwenye hili,atauliza is there any problem? Are we okay? na hapo ndo kwanza nideke,then nimwambie siku fulani ulisema hivi uliniudhi...ataomba tu msamaha na yataisha....!
btw kwanza its fun kununa,sometimes unakuwa ushasamehe ila tu unanuna...si wakati wote unanuna huku una kinyongo au hasira!
 
Lol, uko kama mm yan, nanuna then tukimeet next time lazima aone badiliko namkumbushia aisee, had tunawekawa sawa! haya mambo unaniita mjinga tu natabasamu mh hakunaga. lazima nikuchallange aisee tena kama unakereka afu humwambii hatojua bana, unanuna then unamtafutia pozi unamwambia. ila raha zaid ilo lijitu liwe l
 
siwezi kubisha wala kukubali
maana sijui definution ya gubu

Gubu ni kununa kunakochanganyika na kususa na inachukua muda mrefu. Maana unaweza kususa kitu kwa muda mfupi wth peaceful mind ukajisemea tu ''sitaki chipsi'' yakaisha. Na kununa ni the same. Ila gubu ni nooumar
 
basi sina gubu
kama maana ndo hii, definitely sina

Gubu ni kununa kunakochanganyika na kususa na inachukua muda mrefu. Maana unaweza kususa kitu kwa muda mfupi wth peaceful mind ukajisemea tu ''sitaki chipsi'' yakaisha. Na kununa ni the same. Ila gubu ni nooumar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…