Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Na mkilala mnaweka mpaka wa pillows kati yenu si unajua mkishazoea kulaliana mara wife anajisahau analeta kichwa kifuani halafu akistuka anajitoa ghafla utafikiri kagusa nini sijui hehehe

wanawake wa kizungu wamezoea mkigombana
anakufukuza unaenda lala kwenye coach
utasikia 'to the coach'
wanawake wetu wakiiga hiyo tumekwisha lol
 
wanawake wa kizungu wamezoea mkigombana
anakufukuza unaenda lala kwenye coach
utasikia 'to the coach'
wanawake wetu wakiiga hiyo tumekwisha lol

Hehehe Mi naona kwenye coach itakuwa bomba, kama wkend natengeneza pop corn nakesha na makelele ya TV hadi morning.

Halafu siku ya pili muda wa kulala hata hajaniambia naelekea kwenye kochi.
 
Hehehe Mi naona kwenye coach itakuwa bomba, kama wkend natengeneza pop corn nakesha na makelele ya TV hadi morning.

Halafu siku ya pili muda wa kulala hata hajaniambia naelekea kwenye kochi.

jumatatu hafanyi management ya mbu, utarudi mwenyewe kitandani kudaaadeki
 
Na mkilala mnaweka mpaka wa pillows kati yenu si unajua mkishazoea kulaliana mara wife anajisahau analeta kichwa kifuani halafu akistuka anajitoa ghafla utafikiri kagusa nini sijui hehehe
hahahahaha lol u made my day unanikumbusha mbali sana
 
On a serious note, tatizo kubwa la wanawake ni "COMMUNICATION" yani anaweza kukuta unaangalia mpira umenoga Man U Vs Arsenal kama yaliyonikuta mimi jana , huku timu yangu ishafungwa yeye kasimama umbali wa mita tano ananipa maagizo mpira umeisha ndio naanza kujiuliza " alikuwa anasemaje vilee..."
 
yaani kila nikikusoma nangua kicheko
 
wewe usibishane nae
mwambie sawa nimesikia
mpira ukiisha muulize ulikuwa unasemaje?
akili itamuingia
 
wewe usibishane nae
mwambie sawa nimesikia
mpira ukiisha muulize ulikuwa unasemaje?
akili itamuingia

Ahahaha bro!

Hapo atarudia sentensi yake ya kila siku kwamba akiongea huwa namdharau simsikilizi hata mpira ni bora kuliko...

Hii niliona kwenye Kardashian pia Bruce aliambiwa aende kwa daktari na Chris mwenyewe aliamini kwamba ana "selective hearing" wife wake alidhani ana matatizo ya kusikia mwisho dokta akamwambia hata waifu wake na yeye nyumbani wana matatizo hayo hayo.Jamaa akarudi kishujaa home.
 
hiyo ya kuandikiana vi note.
kuna mtu alimuandikia mkewe ki note
'niamshe saa kumi na mbili ni muhimu'
mke ilipofika asubuhi na yeye akamuandikia ki note
'saa kumi na mbili imefika amka sasa'
jamaa kaamka saa mbili ndo anaona ki note pembeni lol
khaaa!!!!!!!!!!!11 hii kali.
ila kununa nuna pia unaangalia nature ya unaemnunia kuna wengine hata ukinuna ni kama unajisumbua ni bora mkakaa na kusettle mambo yenu aisee.
 
kama unaamini itakupa furaha maishani; kwa aliye conscious atapigana nayo ashinde na kuongeza muda wake wa kuishi kwa kupunuza unnecessary stress.

Freema,

Na wewe utakuja ku observe hizi mambo sometimes hamna kiwango cha elimu wala busara ambacho kinaweza kukufanya u overcome, its just there yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…