The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
- Thread starter
- #241
Na mkilala mnaweka mpaka wa pillows kati yenu si unajua mkishazoea kulaliana mara wife anajisahau analeta kichwa kifuani halafu akistuka anajitoa ghafla utafikiri kagusa nini sijui hehehe
wanawake wa kizungu wamezoea mkigombana
anakufukuza unaenda lala kwenye coach
utasikia 'to the coach'
wanawake wetu wakiiga hiyo tumekwisha lol