Whatsup no 0769103506
###BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA
******Tiba bila upasuliwaji/surgery****
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
[emoji117]KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
[emoji117]KUHARISHA KWA MUDA MREFU
[emoji117]TATIZO LA KUTOPATA CHOO
[emoji117]MATATIZO YA UMRI
[emoji117]KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
[emoji117]MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
[emoji117]Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
[emoji117]kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
[emoji117]kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
[emoji117]kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
[emoji117]kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama japo tiba hii haina matokeo mazuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia
[emoji117]KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZSZOKOBOLEWA
[emoji117]KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
[emoji117]EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
[emoji117]kupata upungufu wa damu (anemia)
[emoji117]Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
[emoji117]hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
[emoji117]kuathirika kisaikolojia
[emoji117]kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
SASA TUNAKULETEA BIDHAA YA ASILI KWA TIBA NA KINGA YA BAWASIRI AMBAZO ZINAONDOA BILA KUFANYIWA UPASUAJI
Hizi bidhaa zitakusaidia sio tu kwenye bawasiri lakini pia KAMA UNA CONSTIPATION(KUTOPATA CHOO/KUPATA CHOO KIGUMU SANA) zitakusaidia kupata choo vizuri,kuondoa mawe kwenye figo,kupunguza uzito,zitaondoa uric acid kwa wale wenye matatizo ya gout,ngozi kuwa nzuri,mmeng'enyo wa chakula kuwa vizuri na mengine mengi sana utayaona wewe mwenyewe
SHARE POST HII tafazali
ILIKUWASAIDIA WENGINEg ,KWANI WAHANGA WA JANGA HILI WAMEKUA WENGI
Whatsup no 0769103506