Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri ulikuwa na uhusiano gani mkuu samahani?
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikinywa sana maji, kula mboga za majani na matunda. Naomba kama mtu ambaye alishawahi kuumwa bawasiri/hemorrhoids na akapona kabisa, anijuze alifanya nini akapona.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu! Achana na hao wanaotaka pesa zako ili upone... mimi nakupa tiba ya bure kabisa sitaki hata mia yako kwa sababu mimi pia nilipatwa na ugonjwa huu na nikapata tiba humu mitandaoni sijalipia hata mia zaidi ya bando tuuu... Nenda duka la madawa ya asili popote unapopataka mimi sina duka... ukanunue mafuta ya Nyonyo(Castrol oil) uwe unapakaza hapo kwenye shida kila siku wakati unataka kulala mpaka iondoke yenyewe... mimi nimepona kabisa kwa tiba hiyo na haijachukua hata wiki...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu. Nitaijaribu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye dalili rekebisha mkuu...nadhani unamaanisha KINYESI kunuka DAMU wakati wa kujisaidia na si DAMU kunaka KINYESI wakati wa kujisaidia
 
yako ipoje mi nilipona bila dawa bila upasuaji ka uvimbe pembeni ya haja kubwa ila ongrza mapapai na ndizi pia fanya kama unakimasaji kama kukikanda kwa kuzungusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo kahawa zawatu watiba asili unamaanisha nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizo ziko vizur hadi kupitiliza, unatakiwa utumie kidogo kabisa.
Zina steam kali sana

Ila zingine zile ambazo zinauzwa za special zimesibitishwa na wataalamu, ndio nzur zaidi unatumia utakavyo.

Mzunguko wa damu unakua vizur, unaepusha mgandamizo wa damu maeneo yote ya mwili
Je hizi zinazouzwa mitaani wanauza kwenye mabirika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inauzwa bei gani hiyo dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tiba yake unatibu kama gonjwa la zinaa.

Ukienda duka la dawa unawaambia wakupe muunganiko wa dawa nne za kutibu gonjwa la zinaa.

Yan...

Metronidazole
Doxyciline
Amoxiciline na
Ciproflaxin. Zote unatumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ujue nilitokewa navisundosundo pale yanapootea mavuzi nilikaa navyo sana badae vikaanza kupotea vikabakia kama viwili hivi, sasa nashangaa mpenzi wangu kimemtokea kwenye kiharage kabisa ndio nimepata wasiwasi, kuna mtu nilimuelezea akaniambia ni vagina wart ndio sasa tiba yake nilihitaji kuifahamu me nimwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…