picha please tuoneNdugu...
Wanajamii Forum naomba msaada wa kujua nini kisababisha mtu anapata uvimbe kwenye njia ya haja kubwa na kupelekea kupata maumivu wakati wa kujisaidia na nini tiba ya huo ugonjwa?
picha please tuone
picha please tuone
Asante Sana mkuu kwa ushauri wako, ila hili tatizo lake nimekuwa hatarishi mpaka Sasa.Mkuu kwanza nikupe pole cha pili huo ugonjwa kufanyiwa upasuaji wa haraka huwa ni presha tu ya madocta wengine huwafisi watu ili wapige hela
lakini huo ugonjwa ukitulia kwa kuzingatia dayati unaondoka wenyewe bila kisu, na wengi wanaita kinyama lakini sio nyama, ile ni sehem ya msuli wa kinyeo inavimba kwa sababu tofauti, so ukizingtia mlo, mazoezi ya kutembea, huwa vinarudi vyenyewe bila shida yoyote
Unawaza au ulishawahi kuugua au una ushahidi wowote wa kuweza kumsadikisha mtoa mada ili afuate unachomuambia...?Mkuu kwanza nikupe pole cha pili huo ugonjwa kufanyiwa upasuaji wa haraka huwa ni presha tu ya madocta wengine huwafisi watu ili wapige hela
lakini huo ugonjwa ukitulia kwa kuzingatia dayati unaondoka wenyewe bila kisu, na wengi wanaita kinyama lakini sio nyama, ile ni sehem ya msuli wa kinyeo inavimba kwa sababu tofauti, so ukizingtia mlo, mazoezi ya kutembea, huwa vinarudi vyenyewe bila shida yoyote
Mimi nliwahi kuumwa huo ugonjwa, nlitumia vyakula vyenye asili ya kamba... Viazi, mihogo na ndizi mbivu. Pia nilikunywa maji mara kwa mara na kuacha kula nyama nyekundu. Ilipona ndani ya wiki mbili.Unawaza au ulishawahi kuugua au una ushahidi wowote wa kuweza kumsadikisha mtoa mada ili afuate unachomuambia...?
Mkuu, with due respect!Mkuu kwanza nikupe pole cha pili huo ugonjwa kufanyiwa upasuaji wa haraka huwa ni presha tu ya Madocta wengine huwafosi watu ili wapige hela
lakini huo ugonjwa ukitulia kwa kuzingatia dayati unaondoka wenyewe bila kisu, na wengi wanaita kinyama lakini sio nyama, ile ni sehem ya msuli wa kinyeo inavimba kwa sababu tofauti, so ukizingtia mlo, mazoezi ya kutembea, huwa vinarudi vyenyewe bila shida yoyote
Tumia karanda lugo chemsha na kunywa glass moja asubuhi na jioni kwa muda wa week 2 litaisha kabisa
Habarini wanajamvi,
Naomba msaada wenu. Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la bawasiri tangu mwaka 2008. Mwaka 2019 alienda hospital akafanyiwa matibabu na kukatwa kwa hizo nyama lakini baadae vikaota tena, mpaka sasa hana matumaini ya kwenda hospital.
Naomba mnisaidie kama kuna tiba sahihi ya hili tatizo.
Mrejesho.Mimi sio Doctor.
Nilipoumwa huu ugonjwa nilitumia utomvu wa Mgomba kupaka kwenye kinyama for about 5 days hivi ikaisha.
Sasa kupata utomvu wa Mgomba na wewe ukiwa DSM ni shughuli kwelikweli unaweza tumia alternative ya itomvu wa Ndizi labd lkn for effective cure tumia utomvu wa Ndizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, huwezi kusoma comments za kuelewa? Watu watu wawili wamethibitisha kuwa utomvu wa mgomba ama ndizi ni dawa nzuri na inaponesha kwa mapema mno kuliko hayo madawa yanayotembea kwa wiki 3 mpaka 4.
Nadhani Mkuu ni vyema ukafuata njia ambayo wenzeko waliitumia maana wana uthibitisho.