HESHIMA KWENU WOTE
NAOMBA KUJUA DAWA SAHIHI YA BAWASIRI NA KAMA IPO YA KIENYEJI NI MUHIMU PIA TAFADHALi
Sijuwi kama hayo majani ya Witch Hazel Leaf yanapatikana hapo bongo?
[SIZE=-1] [/SIZE]
[SIZE=-2]Copyright, Mark Brand[/SIZE]
Nakusaidia Dawa ingine Rahisi fanya hivi CHUKUWA MIZIZI YA MKOMA-MANGA PAMOJA NA UBANI KIASI KIDOGO. CHEMSHA ICHEMKE SAWASAWA. CHUKUWA MAJI YAKE TIA KATIKA CHUPA UWE UNAKUNYWA KIKOMBE CHA KAHAWA MARA TATU KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU KABLA YA KULA KITU KWA MUDA WA SIKU SABA INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU ATAKUPONESHA.
Kila Mti uliotaja una faida zake tena nyingi kimatibabu tukianza kueleza hapa nafikiri tutajaza server yote kwa ufupia jaribu kupanda miti mingineyo ya matunda kwa mfano michungwa minanasi,michenja,milimau,midimu,Mkunazi,mibaazi,Mipilipili mboga ,figili Mwarubaini, Mlonge na ipo mingi tu yenye faida nikipata nafasi nitakueleza mmoja baada ya mmoja. kila Mtu ni dawa na una faida yake nyingi tu.Heshima kwako mkuu mzizimkavu,samahani unaweza ukanitajia miti ya kupanda home yenye manuafaa? Nimepanda mipera,mzambarau,mfenesi na mikomamanga,je unaweza ukanisaidia faida za hio miti
Kata kipande kidogo cha gamba la dafu ambacho(kichonge) kiweze kuingia sehemu ya haja kubwa bila kukuchubua,kisha kipashe moto wa kiasi..afu kiingize sehemu hiyo mara 3 hivi...kaka siku tatu utaanza kuona matokeo kama sio kuisha kabisa tatizo...ukifanikiwa ushuhuda p/se..
wewe ulifanikiwa au??
Kila Mti uliotaja una faida zake tena nyingi kimatibabu tukianza kueleza hapa nafikiri tutajaza server yote kwa ufupia jaribu kupanda miti mingineyo ya matunda kwa mfano michungwa mananasi,michenja,milimau,midimu,Mkunazi,mibaazi,pilipili mboga ,figili Muarubaini na ipo mingi tu yenye faida nikiapata nafasi nitakueleza mmoja baada ya mmoja. kila Mtu ni dawa na una faida yake nyingi tu.
ri wana jf doctor..mimi ni mdada wa 22 years,ninasumbuliwa na tatizola tumbo alafu nikienda chooni kupata haja kubwa natokwana damu sana kama vile nipo katika menstruation cycle...ila hapa umi kabisa,zamani zilikua zikinitoka na ni kidogo sana na palikua panauma sana kwasababu ya mabasili yalikua yakipasuka...ilia sasa moja limepona na moja limebaki na haliumi kabisa... ila damu ndo zimenshtua nisaidieni hili ni tatizo gani pia tumbo la chakula linakua linaongezeka tanu damu zimeanza nitoka