Natumai kuna wataalam wa kila fani humu......ondoa shaka watakusaidia tu
Naona Mzizi mkavu alishaiweka humu ndani na tiba yake ni operation ndogo, au ukishalikamua hilo jipu linalokaa mlangoni mwa njia kubwa anasafisha a Dettol
Mkuu.@King Kong IIIMkuu mzizimakavu,nitapataje hilo desa la tiba za hiyo miti niliyoipanda?
MziziMkavuhabari za hasubuhi jamani mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 nina tatizo la kuotwa vi nyama kwenye sehemu ya aja kubwa kwa ndani na nje naogopa sana kuna mtu aliniambia hii itakuwa ni hemorrhoids na akaniambia niende hospitali nikakatwe, tatizo linakuja sasa vimekuwa vi nne kwa nje na viwili kwa ndani sasa jama si nitakufa! kuna kimoja hicho kikubwa ndo kilichanza miezi zaidi ya sita iliopita huwa kinaniuma na kutoa damu nisaidieni jamani email yangu ni said.hamis@gmail.com asanteni kwa kusoma hili swala.
Mkuu hoyugi Nenda hospitali kawaone Ma-Daktari utafanyiwa Operesheni ya Upasuaji mdogo tu haina matatizo ondosha wasiwasi.asante kwa ufafanuzi nashukuru ngoja niongee na wana jamii kama kuna aneweza kusimamia matibabu yangu nitashukuru.