Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Muungwana cha msingi procure huduma za daktari wa kueleweka mwenye caliber ya kujua anachofanya. Kuendelea kusubiria majibu ya copy & paste yaliyotafsiriwa na google za akina Mzizimkavu utapoteza muda wako.Mtimkavu, nashukuru kwa message. Ila lugha uliyotumia hapa ni ya kidaktari? Au ndiyo shorthand? kwa kweli nimeungaunga tu na wala sijaelewa kabisa. Can you come back again in summaried simple information? Thank you in advance.
You are a courageous man/woman Most people dont talk about such issues to public. Hata hivyo tukianza kutoa maswali elekevu wakati mwingine yanasound Rather peculiar ,...au unaweza kujiona abused psychologically. Cha kufanya kama uko abroad Nenda kamuone Daktari anayeitwa Proctologist,...au endoscopist,...
Kama upo bongo basi nenda kamuone surgeon na ukifika mwambie ukweli na uombe kipimo cha Endoscopy AU proctoscopy kwanza ,..halafu baadaye utayapata majibu
ANYWAY KABIBU JFFFFFFFFF,..........Tunasubiri post zako siku zijazo
Kutafuta njia ya Cure Hemorrhoids?
Maelfu ya watu kutafuta njia ya tiba hemorrhoids, ingawa ni aibu pia kipaji kuuliza daktari wao. Baada ya yote, dhana ya kuwa na familia yako na daktari poke prod "chini kuna" ni wa kutosha kuwafanya shudder. Hivyo wengi kwenda katika kutafuta dawa nyumbani hemorrhoids ambayo kuwapa unafuu Wanahitaji katika siri ya nyumba zao wenyewe.
Zaidi ya dawa kwa hemorrhoids kwamba kuona kwenye TV ni kutumika kutibu dalili tu, na sio tiba yao. Hii ni kwa nini watu wengi kutafuta dawa ambayo tiba yake badala ya relieving tu ya Ikiwachwa, moto, na kwamba wao kusababisha maumivu.Hemorrhoids ni pia hujulikana piles "" muda misimu ambayo inahusu kuonekana unsettling ya advanced hemorrhoids Ni kuangalia kama mwili piled juu ya mwili. Kwa hiyo dawa ya piles itakuwa kitu Same kama tiba ya hemorrhoids. Nilidhani I'd kutupa tidbit katika pale ili usipate kuchanganyikiwa wakati kutafuta jibu la tatizo lako chungu.Watu wengi kutafuta om korrigerande åtgärder yao nyumbani kwa hemorrhoids badala ya kuruka haki katika upasuaji. Baadhi ya sababu ni uwezo wao ama hawezi au tu wala 'wanataka upasuaji au matibabu Je, hupendelea zaidi ya asili badala ya boriti laser Kulenga saa nyuma yao.Hemorrhoids kutafuta dawa ya kuokoa nyumba Maelfu Njia ya dola katika bili ya matibabu. Hata kwa bima ya afya, mara tu takwimu katika deductible na asilimia 20 ya kawaida na subira ina kulipa, wewe ni kuangalia muswada sizable. Na kama huna bima ya afya, kusahau kuhusu hilo. Kama wewe ni kama watu wengi hemorrhoids utapata dawa ambazo zitakusaidia kuishi na hemorrhoids yako na kuweka kwenye mfuko wako pesa yako.Unaweza kutibu hemorrhoids na dawa leo. na ni Pia Uwezekano wa kufanya hivyo kwa dawa Home ambayo inaweza Urahisi Found kwenye wavuti. Unaweza kupata unafuu wa kudumu kutoka hemorrhoids bila kutumia tani ya fedha na bila aibu ya. Pamoja nanyi na kwamba taarifa aibu katika faili yako ya matibabu. Unaweza kupata matibabu kwa hemorrhoids yako kutoka kwa faraja ya nyumba yako mwenyewe.tarehe ya kuanza kwa njia yako ya kutibu hemorrhoids wako kwa ajili ya mema, wala kuishi pamoja na maumivu tena. Je, kuendelea kutumia dawa za juu-ya kukabiliana na kwamba kwa kufanya kazi. Kufanya utafiti wako dawa ya nyumbani na kuanza maisha maumivu bure.
Muungwana cha msingi procure huduma za daktari wa kueleweka mwenye caliber ya kujua anachofanya. Kuendelea kusubiria majibu ya copy & paste yaliyotafsiriwa na google za akina Mzizimkavu utapoteza muda wako.
jaribu pia kuacha kula vyakula vya nafaka zilizokobolewa yaani kila siku badala yake ongeza kula nafaka ambazo hazijakobolewa, maji kwa wingi, matunda na pia tumia Juisi ya Ukwaju nzito glass mbili mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu utaona mabadiliko.
Unaona wivu akitaka ushauri wangu? wewe Abdulhalim unaleta ubishi hata huku?Muungwana cha msingi procure huduma za daktari wa kueleweka mwenye caliber ya kujua anachofanya. Kuendelea kusubiria majibu ya copy & paste yaliyotafsiriwa na google za akina Mzizimkavu utapoteza muda wako.
Kinachotakiwa uende kwa doctor Mtaalamu wa haya Maradhi ya Hemorrhoids akufanyie Uchunguzi na hata ikiwezekana ufanyiwe Operation ndogo kwa kuikata hicho kinyama kilichotoka sehemu yako ya siri. Huo ndio ni ushauri wangu.Mtimkavu, nashukuru kwa message. Ila lugha uliyotumia hapa ni ya kidaktari? Au ndiyo shorthand? kwa kweli nimeungaunga tu na wala sijaelewa kabisa. Can you come back again in summaried simple information? Thank you in advance.
Wewe ni mngoni au mtu wa Kigoma nini? lolUnaona wivu akitaka ushauri wangu? wewe Abdulhalim unaleta ubishi hata huku?
Naona wewe utakuwa ni Mzanzibar tena mtu wa CUF kama ni Mtu wa Bara utakuwa ni Mchaga wewe. kila Mahali upo tulia MkuuWewe ni mngoni au mtu wa Kigoma nini? lol
Yaani unaweka post ya google translator ambayo hata sentensi moja haileti mantiki halaf ukiambiwa unaanza kubisha na kuleta visingizio !
Je, tatizo ili limekupata baada ya kuwa na 'loose motion' yaani kuendesha? Kama ndiyo, loose motion uleta michubuko kwenye rim ya njia ya haja kubwa, choo kigumu pia uleta michubuko; hivyo basi jisafishe kila baada ya kutumia choo kwa maji safi, fanya 'sit-bath (sitting in the warm water in the water dish/ basin for at least five minutes twice a day after a shower - don't mix that water with dettol)', kula matunda hasa mapapai, mboga za majani na mikate aina ya 'brown', pia usiache kunywa maji ya kutosha kila siku, halafu anagalia baada ya wiki hivi kama bado inaendelea muone Dk na uombe kipimo cha 'endoscopy' kitaonyesha kila kitu kunanzia kwenye rim ya njia ya haja kubwa mpaka kwenye mlango wa tumbo - hapo utapata majibu ya uhakika kama ni hemorrhoids au minyoo au fissures nk.
Mara ya kwanza kuregister na nimeanza kimatatizo.
Mwana JF mwenzenu kwa kipindi cha miezi kama miwili hivi, nimekuwa nikipata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa. Maumivu haya yanakuja nikiwa na choo kigumu au chepesi. Huwa ni maumivu kama kuna kitu kinakwanguliwa au kuna kidonda hivi. Lakini pindi nikimaliza haja kubwa sisikii tena na wala sihisi kama kuna maumivu! Hivi karibuni nilipata vurugu tumboni baada ya food poisoning, ile combination ya maumivu kwa kweli hailezeki. sehemu inayouma ni kwenye outlet (anus) pale pale na si kwingine. Maana ningekuwa nayasikia hata kwente rectum ningeweza sema, ila ni juu kabisa wakati wa defacation.
Nilikwenda mwona Doctor, yeye aliniandikia flagyls ambazo nilizinywa wala sijapata nafuu. Alihisi kuna infection au inflammation. Sasa niko njia panda, nifanyeje? Sijui hata huko hospital nielezeje hasa hali yangu?!
Naomba mawazo pa kuanzia. Asanteni.
Inaelekea mkuu una damu ya Sheikh Yahya Hussein...... unatabiri kwa kuhisia. Atakuwa mzanzibari tena mtu wa CUF au wa Bara tena mchagga (hujasema kama atakuwa CHADEMA au CCJ). Sisi wafuasi wa utabiri tuchukue lipi kati ya hayo mawili?Naona wewe utakuwa ni Mzanzibar tena mtu wa CUF kama ni Mtu wa Bara utakuwa ni Mchaga wewe. kila Mahali upo tulia Mkuu
Mara ya kwanza kuregister na nimeanza kimatatizo.
Mwana JF mwenzenu kwa kipindi cha miezi kama miwili hivi, nimekuwa nikipata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa. Maumivu haya yanakuja nikiwa na choo kigumu au chepesi. Huwa ni maumivu kama kuna kitu kinakwanguliwa au kuna kidonda hivi. Lakini pindi nikimaliza haja kubwa sisikii tena na wala sihisi kama kuna maumivu! Hivi karibuni nilipata vurugu tumboni baada ya food poisoning, ile combination ya maumivu kwa kweli hailezeki. sehemu inayouma ni kwenye outlet (anus) pale pale na si kwingine. Maana ningekuwa nayasikia hata kwente rectum ningeweza sema, ila ni juu kabisa wakati wa defacation.
Nilikwenda mwona Doctor, yeye aliniandikia flagyls ambazo nilizinywa wala sijapata nafuu. Alihisi kuna infection au inflammation. Sasa niko njia panda, nifanyeje? Sijui hata huko hospital nielezeje hasa hali yangu?!
Naomba mawazo pa kuanzia. Asanteni.
Utajaza wewe mwenyewe kama ni Mtu wa Chadema au CCM. lakini mimi namuona Mkuu Abdulhalim Ni Mlokole sio MzanzibarInaelekea mkuu una damu ya Sheikh Yahya Hussein, unatabiri kwa kuhisia. Atakuwa mzanzibari tena mtu wa CUF au wa Bara tena mchagga (hujasema kama atakuwa CHADEMA au CCJ). Sisi wafuasi wa utabiri tuchukue lipi kati ya hayo mawili?