Hospitali ameenda sana mkuu. Madaktari walimshauri atumie tiba mbadala tofauti na upasuaji kwa hoja ya kwamba hata akifanya upasuaji uvimbe utarudi.aende hospital....wajue..ni.nin.kwanza...haya maswala ya kutulia na uvimbe mda mrefu sio dili.....ushauri...tu... Coz wagonjwa weng wanakuja hospital baada ya miti shamba kugoma
Dawa ya meno?[emoji15]Mimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
yeap..mkuu...ajitahidi kutumia high fiber dietHospitali ameenda sana mkuu. Madaktari walimshauri atumie tiba mbadala tofauti na upasuaji kwa hoja ya kwamba hata akifanya upasuaji uvimbe utarudi.
Walimshauri abadili life style, asiwe na msongo wa mawazo na pia ale mlo kamili pamoja na mboga mboga kwa wingi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kama mazuriHayo maji unapaka kwenye puru au unakunywa?
labda mkuu alikua anameno kabisa hahahaDawa ya meno?[emoji15]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] zikipasuka ni shida kubwa maana maambukizi ya vidudu y anaweza kuwa juuMimi pia ilinisumbua sana kama miaka miwili ila nilipo tumia dawa ya meno ikapona kabisaa maana usiombe ukawa na hii kitu afu upate haja ngumu utamwaga dam kama umetoka kujifungua
Tupatie formula jinzi ya kutengeneza kwani tatizo hili ni sugu kwa wengiWakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hizi vimbe za sehemu ya haja kubwa ambazo zimekuwa zikiniletea maumivu makali kwa kipindi cha miaka mitatu.
Nilijaribu dawa mbali mbali zikiwemo anusol ya cream na suppositories lakini hazikuwahi kunisaidia hadi ikafikia kipindi nikashauriwa kufanyiwa upasuaji lakini nilikataa kutokana na wengi wanaofanyiwa upasuaji huu ugonjwa umekuwa ukiwarudia baada ya miaka kadhaa
Nilijaribu na baadhi ya dawa za mitishamba lakini bado hazikufua dafu bali vimbe ziliendelea kunitesa hadi ikafika kipindi nikakata tamaa
Lakini mwezi uliopita nililetewa na shangazi yangu dawa iliyo kwenye kichupa kidogo iliyo katika mfano wa maji maji
Nilipouliza nikaambiwa ni maji ya mgomba yalioandaliwa kwa kuchanganywa na mafuta ya mnyonyo kiasi.
Wakuu nimetumia ndani ya wiki vimbe zote zimepotea kabisaa.
Kama kwenu kuna migomba usikate aisee huwezi jua kesho yako
Nawasilisha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]labda mkuu alikua anameno kabisa hahaha
Usiombee yakukute kkDuu shuhuda amekula konaaaa
sasa ndo tunataka utumbie jinsi ya kutumia,yametukuta ndo maana tunakubembelezaUsiombee yakukute kk
Si dawa za mitishamba tu hata za maabara pia huchaguaPole na hongera kwa kupona na asante kwa taarifa tosherezi, dawa za kienyeji nazo zinaubaguzi sana, wewe inaweza kukuponya kabisa na mwingine ikagoma,