Inawezekana wewe ni mke wa mjumbe wa shina la nyumba kumi ndio maana una kiherehere sana, umeona hapakufai mind your business period.umeshaambiwa ugonjwa wako ukapewa na dawa ya kutumia sasa unapoanza oooh kimewiva sana,mara oooh kilaini sana mara sijui nini....
Nikinyamvua si langu wewe unaumia nini? Kuliwa waliwe wengine wewe usikie maumivu, imbecile.afadhali umeelewa na wewe,tena ugonjwa wenyewe umekaa pabaya basi mwenyewe anafurahi kunyanyamvua,oooh kando ya shimo,mara sijui tundu limewiva,mara sijui nikinya inakuwa hivi.....
Haiambatani na damu, napata choo cha kawaida tu.Mkuu we unakijipu tuu?? Vipi ukipata haja kubwa haiambatani na damu damu??
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu, nimeandikiwa pirex gel pamoja na pirex tabletsWataalamu wanasema unaweza kutumia dawa inayoitwa.
Amoxicillin & Clavulanate Potassium Tablets USP
Pamoja na panadol ya kupunguza maumivu
Dozi ni ya wiki moja kidonge kimoja asubuhi kingine jioni, dawa hiyo inauzwa kati ya 21,000 na 25,000.
Mmmmh,hapana mkuu. Hayo ni matango pori unatulisha.
huu ugonjwa unaitwa fistulectomy au wakati mwingine wanasema sinus. kinajitokeza kijipu kidogo na kinauma sana. dawa ya hii kitu ni kufanyiwa operation. kwa yule ambaye anasema kanauma sana, akienda watapasua na humo ndani wanaweka pamba ambazo zinatolewa baada ya 24 hrs. ni operation inauma hasa ukitaka kwenda choo.usipowa wakaipasua ikiwa ndogo, kule ndani inajijenga na unaweza shikwa upande wa pindi wa toako. kwa kuwa una access ya internet wewe andika fistulectomy, i dont know if am correct in spelling, ila utapata ABC za ugonjwa huu. nashauri kwa yule aliyeko mwanza angalia dr mmoja anaitwa dr Philipo ni surgeon specialist huyu ni mtaalamu sana. kuwai ni bora kuliko kuchelewa kwani ukichelewa inakuwa kansa au wanaweza kuwekea mpira tumboni ili kule matakoni wapatibu papone. Ni ushauri tu, kama hutaki unaacha. Asante
Kwa ambao tuko ndani ya ndoa mbona ni vitu vya kawaida sana.Hahahha, mkuu mimi mwenyewe nimeshtuka [emoji23] [emoji23]. Au ndo ile kwenye shida na raha?
Mkuu ukithubutu kupaka Yale majimaji ya vitunguu swaumu kwa siku 3 hivi utapata nafuu haraka sana!Mkuu mimi niko mwanza, nimetoka hospital sasa hivi nimeambiwa ni bawasiri, kuna dawa Dr kanishauri nikazitafute zitanisaidia zaidi kuliko hizo za bima, kuna gel moja inauzwa 18k nimeshaipata na vidonge vinauzwa 38k ndio nahangaika kuvitafuta hapa bado sijavipata....ila mwanzoni nilidhani ni jipu na wife aliniwekea kitunguu saumu eti liive, hapa nilipo nikishika nalisikia kama ni laini laini mno, natamani ata litobolewe niweze kukaa au kutembea vizuri.
Duu umeoa muda wife anajua majukumu yake kufua boksa?Ila sidhani kama hii inaweza kuwa sababu kwa upande wangu kwasababu huwa najisafisha vizuri kila baada ya kujisaidia na pia sivai boxer siku mbili mkuu as long as nimeoa muda mrefu kidogo na wife anajua majukumu yake vizuri.
Huwa unatumia toilet paper instead of water?Pembeni ya tundu la haja kubwa nimetokewa na uvimbe kama vile ni jipu, lina maumivu makali mno, ukipashika ni kama kinundu kikubwa hivi, nakumbuka mwaka jana niliwahi kutokewa nacho kikapotea chenyewe kimya kimya, sasa jumapili hii iliyopita nimetokewa nacho tena, mara hii nashindwa kutembea sawa au kukaa inakuwa shida, naomba msaada kujua hii ni nini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]umeshaambiwa tatizo ulilonalo iweje unaanza kuturingishia tena mara oooh nikishika laini laini ,mara sijui mafuta mbona tunaanza kupata hofu kama kweli we mgonjwa,zingatia dawa ulizopewa.case closed
Nini madhara ya kutumia tishu?Huwa unatumia toilet paper instead of water?
Mimi natumia maji miaka yote mkuu, toilet paper siipendi kwasababu naona kama ni kujichafua.Huwa unatumia toilet paper instead of water?
Nitawekaje tupu yangu huku jukwaani?Weka picha ndugu yangu
Sio hilo tu, na mengine mengi ambayo ni sehemu ya majukumu ya mtu mke katika ndoa.Duu umeoa muda wife anajua majukumu yake kufua boksa?
Ngoja na mimi nizingatie hayo pengine hii kadhia itanitoka.mkuu pole sana hata mimi nilishawahi ugua huo ugonjwa nilienda hospital nikaambiwa ni nibadilishe mfumo ninaoishi nianze kufanya mazoezi diet nzurii bila kusahau mboga za majani na matunda kwa wingi pia nisipende kukaa chooni kwa mda mrefu wakati wa haja kubwa nihakikishe napata haja laini wallah unapona bila dawaaaaaa mpaka leo nadunda
Mi nafikiri kwamba matumizi ya tishu yanaweza kuacha uchafu ambao ndani yake una bacteria wanaoweza kushambulia maeneo waliyopo, tumia maji tu then unawe mikono (hii ni salama zaidi kuliko tishu)Nini madhara ya kutumia tishu?
Tatizo la kutawaza na maji ni kuacha mabaki ya kinyesi katika mikono.Mi nafikiri kwamba matumizi ya tishu yanaweza kuacha uchafu ambao ndani yake una bacteria wanaoweza kushambulia maeneo waliyopo, tumia maji tu then unawe mikono (hii ni salama zaidi kuliko tishu)