Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
 
anzeni kuogea sabuni za tiba msituletee madude yenu! nyie wa dar mnapenda sana kulambana!
Mkuu sio dar pekee yake hata mikoani huu ugonjwa upo, jana kuna mtu nmekutana nae ana kesi kama hii,
Ngozi inawasha akijikuna vinatoka vipele katumia kila dawa ila hamna matokeo
 
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
Huyo daktari wako alikwambia huo ugonjwa unaitwaje?
 
Mkuu sio dar pekee yake hata mikoani huu ugonjwa upo, jana kuna mtu nmekutana nae ana kesi kama hii,
Ngozi inawasha akijikuna vinatoka vipele katumia kila dawa ila hamna matokeo
Huo huo unawashwa kama nini vile

USSR
 
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
Kutokuoga kwako usisingizie dar nzima hawaogi
 
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
Watakuwa wawekezaji wameanza yao, niliwaambia hii nchi wanaitaka kwa udi na uvumba
 
Kwangua vocha huo, tumieni kiberiti upele lasivyo mtakunywa dawa na kuchoma sindano ila hamtopona.!!
 
Back
Top Bottom