Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

Shukrani Kaka, nimeziona nitajitahidi nizinunue maana duniani hasara ni roho tu ila afya ni mtaji wa mafanikio yote kimaisha.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Poa mkuu kama ni ugonjwa kama wa demu wangu basi ukitumia siku 2 unapona ila umalize dose. Kingine kama huna hela ya dose yote nenda kanunue hata vidonge vinne uanze kutumia kidonge kimoja ni 600 kwa dawa moja ni dawa nyingine kidonge ni 400. All the best.
 
Ukurutu ni balaa ukiingia kwenye nyumba yako hata asiye mgonjwa lazima apake dawa yaani familia nzima. Kisha nguo zenu zifuliwe kwa maji moto ikiwezekana na piga pasi.
 
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
Kweli hii kitu ,binafsi mpaka nafikili labda hali ya hewa ya baridi tokana na mahali nilipo ,unajikuna ila hakuna hata upele
 
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
Kazi ya chawa hiyo ....kwani ujawai kusikia kuwa mama anafuga chawa
 
Kumbe ndio maana nawashwa jamani wiki sasa nikadhani ni allergy labda.
Nimetokewa na vipele vidogovidogo mikononi, dah!
Huu ugonjwa unasababishwa na Uchafu wakutokufua nguo na nguo za ndani hasa wanaume haya ni matokeo ya kuvaa boxa wiki nzima na na mashuka machafu dada una chawa wale wadogo ambao ni ngumu kufa tumia scaboma
 
Uchunguzi ufanyike. Unaweza kuta chakula kinachotumika kwa wingi kama mafuta au sukari kina dosari.
Ni kweli kabisa watu wawe makini na vyakula ya njiani ya vyakula vya kukaanga nyama za kuku au viazi mtu anatumia mafuta muda mrefu bila kubadilisha mwisho huleta haya madhara pia watu wapunguze unywaji wa bia
 
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
Na ugonjwa wa kikohozi nao umeshamiri sana Dar na waziri yupo kimya. Nchi ya kikwuma sana hii
 
Back
Top Bottom