Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

Huyo daktari alipaswa kutoa taarifa kwa Mganga mkuu wa mkoa nae atoe taarifa kwa waziri husika...

Msipoandamana nyie hamtosikilizwa
Unadhani hakuna miongozo kwenye mahospital pale wanapoona ugonjwa mpya?
 
Ukipata huo ugonjwa utarudi hapa kutengua kauli.
Hiyo ndio sababu kubwa ya kuwashwa Yani ukurutu ila Kuna sababu nyingine inayopelekea hali hiyo kama kutumia vyakula vya kukaanga kama miguu ya kuku au viazi haya makachori watu wanayokula njiani wawe makini wauzaji wanayatumia mafuta muda mrefu bila kubadilisha matokeo yake ndio haya
 
Tukiw
Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .

Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .

Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako

USSR
Tunautafutia jina kwanza maana tukiwambia ni monkeypox mtaogopa labda tuuite KUJIKUNAPOX ila Sasa Ile dawa inayotibu monkeypox ndio hiyo hiyo inayotibu KUJIKUNAPOX.
 
Huu
Mkuu sio dar pekee yake hata mikoani huu ugonjwa upo, jana kuna mtu nmekutana nae ana kesi kama hii,
Ngozi inawasha akijikuna vinatoka vipele katumia kila dawa ila hamna matokeo
Ugonjwa huu unanitesa sana hauna dawa
 
Back
Top Bottom