Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuambukiza hakuepukiki nyumbaniHivyo hivyo angalia usiambukize watoto
USSR
Kila wakicheza wanaambukizana
Na mtu anapolala wadudu wanabakia na watoto wanabeba pia hao wadudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuambukiza hakuepukiki nyumbaniHivyo hivyo angalia usiambukize watoto
USSR
Wewe kuwashwa kidogo tu unataka Serikali itoe tamko?Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .
Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .
Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako
USSR
Ni Scabies hiyo tafuta dawa moja inaitwa Derbac M liquid ni siku moja tu unapaka kwisha halafu unarudia baada ya wiki tenaKumbe ndio maana nawashwa jamani wiki sasa nikadhani ni allergy labda.
Nimetokewa na vipele vidogovidogo mikononi, dah!
Hatari sana, sijui utakuwa mlipuko gani wa ugonjwa huo daaah...🤔Kumbe ndio maana nawashwa jamani wiki sasa nikadhani ni allergy labda.
Nimetokewa na vipele vidogovidogo mikononi, dah!
Ebu weka hapa hiyo dawa ili twende sawa Chifu maana hali si hali kabisa.Mkuu ni Scabies hiyo nafikiri imetoka Ulaya maana ipo sana huku ila ni ugonjwa mbaya
Huku huwa unakuja wakati wa baridi zaidi
Kuna dawa moja kiboko wakipata hiyo inatibu siku moja tu na kuwauwa hao wadudu
Mkuu inaitwa Derbac M LiquidEbu weka hapa hiyo dawa ili twende sawa Chifu maana hali si hali kabisa.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mungu wangu! Mbona unanitisha jamani?Ni Scabies hiyo tafuta dawa moja inaitwa Derbac M liquid ni siku moja tu unapaka kwisha halafu unarudia baada ya wiki tena
Ila ukiuacha kwa long term inadhuru mpaka Figo
Huko Dar inapatikana wapi Mzee Baba na matumizi yake yakoje ukiipakaa mwilini?Ni Scabies hiyo tafuta dawa moja inaitwa Derbac M liquid ni siku moja tu unapaka kwisha halafu unarudia baada ya wiki tena
Ila ukiuacha kwa long term inadhuru mpaka Figo
Hamna unatibika ila tatizo madokta wetu ni kama waganga wa kienyejiMungu wangu! Mbona unanitisha jamani?
Shukrani, nitajaribu ikishindikana itabidi nikuombe unielekeze wapi itapopatikana niifate kwa gharama zozote Chifu.Mkuu inaitwa Derbac M Liquid
Sijui kama utaipata huko labda pharmacy za uhakika
Pole sana boss
Nisamehe bure sipo dar hizi zinapatikana nje kama uk lakini kama Dar watakusaidia waliopo hapoHuko Dar inapatikana wapi Mzee Baba na matumizi yake yakoje ukiipakaa mwilini?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ningekuwa nina uwezo wa kuzituma mbona ningepiga hela maana inatibu haraka sanaShukrani, nitajaribu ikishindikana itabidi nikuombe unielekeze wapi itapopatikana niifate kwa gharama zozote Chifu.
Suala la maradhi ya kuambukiza na hata yasiyo ni jukumu la wizara ya afya kuelezea ummaWewe kuwashwa kidogo tu unataka Serikali itoe tamko?
Ngoja nijaribu kuulizia maduka makubwa ya dawa huko Dar, zikikosekana huko itabidi niombe koneksheni namna ya kununua toka huko nnje ya nchi maana uhai ni utajiri no 1 kwetu Binadamu.Nisamehe bure sipo dar hizi zinapatikana nje kama uk lakini kama Dar watakusaidia waliopo hapo
Kuna zingine wanatoa huko ila hazisaidii kabisa
Bado haijafikia hatua ya kuwa mlipuko wa ugonjwa ndio utolewe taarifa na Wizara husika.Suala la maradhi ya kuambukiza na hata yasiyo ni jukumu la wizara ya afya kuelezea umma
Ndio ni jukumu la serikali boss
Unafikiri tukijikuna nchi nzima si mpaka Rais atapata ?
Bochi ndiyo wapi huko na unaweza kutuunganisha na huyo skin specialist aliyemtibu Shemeji yetu Chifu?Kumbe ni dar nzima? Manzi wangu kajikuna sana almost miez 3 kapona juzi baada ya kwenda bochi kumuona specialist wa ngozi.