Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

Bado haijafikia hatua ya kuwa mlipuko wa ugonjwa ndio utolewe taarifa na husika.
Hata tiba iwepo basi, maana sasa ni zaidi ya miezi mitatu tunasikia
Magonjwa huwa yanaelezwa hata kwa maandishi kwenye zahanati au hospital zote kuwatahadharisha watu
 
Ngoja nijaribu kuulizia maduka makubwa ya dawa huko Dar, zikikosekana huko itabidi niombe koneksheni namna ya kununua toka huko nnje ya nchi maana uhai ni utajiri no 1 kwetu Binadamu.
Ukikosa kabisa zipo ebay pia chupa ni kama 60,000
 
Bochi ndiyo wapi huko na unaweza kutuunganisha na huyo skin specialist aliyemtibu Shemeji yetu Chifu?
Bochi ni hospitali ipo kibanda cha mkaa nadhani, mimi nipo mkoani kwa sasa ngoja nimuulize kama alichukua namba yake ila alikutwa na athma ya ngozi akaandikiwa dawa.
 
Poa Chifu, nasubiria majibu.
Hizi ndio dawa alizoandikiwa mkuu pale zina gharama aliambiwa dose ni elfu 64 kama sikosei nikamwambia akachukulie pharmacy akapata kwa elfu 40 na kitu zote.
 
Attachments

  • IMG-20240720-WA0001.jpg
    IMG-20240720-WA0001.jpg
    43.7 KB · Views: 10
Kama ni scabies, kuna lotion inautwa scaboma, inapatika pharmacy nyingi hapa dar. Ni ya kupaka mwili mzima kasoro kichwa na inasaidia sana
 
Sio Mpox?
Na mimi nilikuwa na swali hilohilo.

Symptoms of mpox, also known as monkeypox, typically appear within three weeks of exposure to the virus and usually last 2–4 weeks. Symptoms can include:

Rash
A flat sore that develops into a blister filled with liquid and may be itchy or painful. The rash can appear anywhere on the body, such as the face, inside the mouth, hands, feet, chest, genitals, or anus. The rash can look like pimples or blisters and may go through several stages, including scabs, before healing.

Flu-like symptoms
Fever, headache, muscle aches, chills, and fatigue. These symptoms may occur before or after the rash appears, or not at all. Other symptoms include sore throat, nasal congestion, or cough.
 
Hizi ndio dawa alizoandikiwa mkuu pale zina gharama aliambiwa dose ni elfu 64 kama sikosei nikamwambia akachukulie pharmacy akapata kwa elfu 40 na kitu zote.
Shukrani Kaka, nimeziona nitajitahidi nizinunue maana duniani hasara ni roho tu ila afya ni mtaji wa mafanikio yote kimaisha.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Na mimi nilikuwa na swali hilohilo.

Symptoms of mpox, also known as monkeypox, typically appear within three weeks of exposure to the virus and usually last 2–4 weeks. Symptoms can include:

Rash
A flat sore that develops into a blister filled with liquid and may be itchy or painful. The rash can appear anywhere on the body, such as the face, inside the mouth, hands, feet, chest, genitals, or anus. The rash can look like pimples or blisters and may go through several stages, including scabs, before healing.

Flu-like symptoms
Fever, headache, muscle aches, chills, and fatigue. These symptoms may occur before or after the rash appears, or not at all. Other symptoms include sore throat, nasal congestion, or cough.
Hapana mkuu hiyo sio kabisa maana hii inasema usoni lakini ya bongo huwashwi usoni
Ni katikati ya vidole na kila ukikuna unasogega kwenye sehemu zingine ila sio kichwani
Miguuni,mikononi, na mapaja pia ni Scabies
Hapa wamekuzwa sana ila wanakaa chini ya ngozi na kutaga
Screenshot_20240810_164859_Google~2.png
 
Back
Top Bottom