Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

Wewe kuwashwa kidogo tu unataka Serikali itoe tamko?
 
Media zetu zenyewe zote ziko beausy na Simba yanga ,miziki,udaku umbea uchawa kamari

Ova
 
Mkuu ni Scabies hiyo nafikiri imetoka Ulaya maana ipo sana huku ila ni ugonjwa mbaya
Huku huwa unakuja wakati wa baridi zaidi
Kuna dawa moja kiboko wakipata hiyo inatibu siku moja tu na kuwauwa hao wadudu
Ebu weka hapa hiyo dawa ili twende sawa Chifu maana hali si hali kabisa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ni Scabies hiyo tafuta dawa moja inaitwa Derbac M liquid ni siku moja tu unapaka kwisha halafu unarudia baada ya wiki tena
Ila ukiuacha kwa long term inadhuru mpaka Figo
Huko Dar inapatikana wapi Mzee Baba na matumizi yake yakoje ukiipakaa mwilini?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kumbe ni dar nzima? Manzi wangu kajikuna sana almost miez 3 kapona juzi baada ya kwenda bochi kumuona specialist wa ngozi.
 
Wewe kuwashwa kidogo tu unataka Serikali itoe tamko?
Suala la maradhi ya kuambukiza na hata yasiyo ni jukumu la wizara ya afya kuelezea umma
Ndio ni jukumu la serikali boss
Unafikiri tukijikuna nchi nzima si mpaka Rais atapata ?
 
Nisamehe bure sipo dar hizi zinapatikana nje kama uk lakini kama Dar watakusaidia waliopo hapo
Kuna zingine wanatoa huko ila hazisaidii kabisa
Ngoja nijaribu kuulizia maduka makubwa ya dawa huko Dar, zikikosekana huko itabidi niombe koneksheni namna ya kununua toka huko nnje ya nchi maana uhai ni utajiri no 1 kwetu Binadamu.
 
Suala la maradhi ya kuambukiza na hata yasiyo ni jukumu la wizara ya afya kuelezea umma
Ndio ni jukumu la serikali boss
Unafikiri tukijikuna nchi nzima si mpaka Rais atapata ?
Bado haijafikia hatua ya kuwa mlipuko wa ugonjwa ndio utolewe taarifa na Wizara husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…