Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hata tiba iwepo basi, maana sasa ni zaidi ya miezi mitatu tunasikiaBado haijafikia hatua ya kuwa mlipuko wa ugonjwa ndio utolewe taarifa na husika.
Wana JF naomba mumsaidie huyu Mwamba atuokoe Watz wenzenu.Ningekuwa nina uwezo wa kuzituma mbona ningepiga hela maana inatibu haraka sana
Ila zipo nje ya nchi
Ukikosa kabisa zipo ebay pia chupa ni kama 60,000Ngoja nijaribu kuulizia maduka makubwa ya dawa huko Dar, zikikosekana huko itabidi niombe koneksheni namna ya kununua toka huko nnje ya nchi maana uhai ni utajiri no 1 kwetu Binadamu.
Bochi ni hospitali ipo kibanda cha mkaa nadhani, mimi nipo mkoani kwa sasa ngoja nimuulize kama alichukua namba yake ila alikutwa na athma ya ngozi akaandikiwa dawa.Bochi ndiyo wapi huko na unaweza kutuunganisha na huyo skin specialist aliyemtibu Shemeji yetu Chifu?
Ebay ndiyo wapi huko Chifu, naomba unichoree location kiusahihi niende hata sasa hivi.Ukikosa kabisa zipo ebay pia chupa ni kama 60,000
Kiberiti upele ni kitu gani mkuuKwangua vocha huo, tumieni kiberiti upele lasivyo mtakunywa dawa na kuchoma sindano ila hamtopona.!!
Poa Chifu, nasubiria majibu.Bochi ni hospitali ipo kibanda cha mkaa nadhani, mimi nipo mkoani kwa sasa ngoja nimuulize kama alichukua namba yake ila alikutwa na athma ya ngozi akaandikiwa dawa.
Basi achana na hiyo EbayEbay ndiyo wapi huko Chifu, naomba unichoree location kiusahihi niende hata sasa hivi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hizi ndio dawa alizoandikiwa mkuu pale zina gharama aliambiwa dose ni elfu 64 kama sikosei nikamwambia akachukulie pharmacy akapata kwa elfu 40 na kitu zote.Poa Chifu, nasubiria majibu.
Dawa flani ya unga unamix kwenye mafuta yako ya kupaka kisha unapaka, kila unapotoka kuoga.!!Kiberiti upele ni kitu gani mkuu
Na mimi nilikuwa na swali hilohilo.Sio Mpox?
Powa nitajitahidi kufatilia hizi siku 2 nikifanikiwa nitakupatia majibu Chifu.Basi achana na hiyo Ebay
Tafuta madukani tu
Shukrani Kaka, nimeziona nitajitahidi nizinunue maana duniani hasara ni roho tu ila afya ni mtaji wa mafanikio yote kimaisha.Hizi ndio dawa alizoandikiwa mkuu pale zina gharama aliambiwa dose ni elfu 64 kama sikosei nikamwambia akachukulie pharmacy akapata kwa elfu 40 na kitu zote.
Hapana mkuu hiyo sio kabisa maana hii inasema usoni lakini ya bongo huwashwi usoniNa mimi nilikuwa na swali hilohilo.
Symptoms of mpox, also known as monkeypox, typically appear within three weeks of exposure to the virus and usually last 2–4 weeks. Symptoms can include:
Rash
A flat sore that develops into a blister filled with liquid and may be itchy or painful. The rash can appear anywhere on the body, such as the face, inside the mouth, hands, feet, chest, genitals, or anus. The rash can look like pimples or blisters and may go through several stages, including scabs, before healing.
Flu-like symptoms
Fever, headache, muscle aches, chills, and fatigue. These symptoms may occur before or after the rash appears, or not at all. Other symptoms include sore throat, nasal congestion, or cough.
Dah. Poleni.Hapana mkuu hiyo sio kabisa maana hii inasema usoni lakini ya bongo huwashwi usoni
Ni katikati ya vidole na kila ukikuna unasogega kwenye sehemu zingine ila sio kichwani
Miguuni,mikononi, na mapaja pia ni Scabies
Hapa wamekuzwa sana ila wanakaa chini ya ngozi na kutaga View attachment 3066270