Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Wana JF naomba mumsaidie huyu Mwamba atuokoe Watz wenzenu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Poa mkuu kama ni ugonjwa kama wa demu wangu basi ukitumia siku 2 unapona ila umalize dose. Kingine kama huna hela ya dose yote nenda kanunue hata vidonge vinne uanze kutumia kidonge kimoja ni 600 kwa dawa moja ni dawa nyingine kidonge ni 400. All the best.Shukrani Kaka, nimeziona nitajitahidi nizinunue maana duniani hasara ni roho tu ila afya ni mtaji wa mafanikio yote kimaisha.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mmnmh sio ushirikina huo mkuu -?Dawa flani ya unga unamix kwenye mafuta yako ya kupaka kisha unapaka, kila unapotoka kuoga.!!
Kweli hii kitu ,binafsi mpaka nafikili labda hali ya hewa ya baridi tokana na mahali nilipo ,unajikuna ila hakuna hata upeleHapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .
Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .
Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako
USSR
Kazi ya chawa hiyo ....kwani ujawai kusikia kuwa mama anafuga chawaHapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .
Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .
Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako
USSR
Huu ugonjwa unasababishwa na Uchafu wakutokufua nguo na nguo za ndani hasa wanaume haya ni matokeo ya kuvaa boxa wiki nzima na na mashuka machafu dada una chawa wale wadogo ambao ni ngumu kufa tumia scabomaKumbe ndio maana nawashwa jamani wiki sasa nikadhani ni allergy labda.
Nimetokewa na vipele vidogovidogo mikononi, dah!
Ni kweli kabisa watu wawe makini na vyakula ya njiani ya vyakula vya kukaanga nyama za kuku au viazi mtu anatumia mafuta muda mrefu bila kubadilisha mwisho huleta haya madhara pia watu wapunguze unywaji wa biaUchunguzi ufanyike. Unaweza kuta chakula kinachotumika kwa wingi kama mafuta au sukari kina dosari.
Na ugonjwa wa kikohozi nao umeshamiri sana Dar na waziri yupo kimya. Nchi ya kikwuma sana hiiHapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa .
Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa ndio kesi kubwa sana kwa sasa .
Waziri Ummy Mwalimu upo kimya sana na wizara yako
USSR
Corona ya ngoziHuyo daktari wako alikwambia huo ugonjwa unaitwaje?
Pole dearKumbe ndio maana nawashwa jamani wiki sasa nikadhani ni allergy labda.
Nimetokewa na vipele vidogovidogo mikononi, dah!
kibiriti upele ndo nini sasa mamaKwangua vocha huo, tumieni kiberiti upele lasivyo mtakunywa dawa na kuchoma sindano ila hamtopona.!!
kikohozi cha aina gani tena hicho mkuuNa ugonjwa wa kikohozi nao umeshamiri sana Dar na waziri yupo kimya. Nchi ya kikwuma sana hii
Dawa flani hivi inauzwa buku ya unga unamix kwenye mafuta ya kupakaa mwilinikibiriti upele ndo nini sasa mama
Na hii dawa pia sklobetaKama ni scabies, kuna lotion inautwa scaboma, inapatika pharmacy nyingi hapa dar. Ni ya kupaka mwili mzima kasoro kichwa na inasaidia sana
polePowa nitajitahidi kufatilia hizi siku 2 nikifanikiwa nitakupatia majibu Chifu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
🤣Mmnmh sio ushirikina huo mkuu -?