qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
sijapotosha ndugu mimi sio doctor otherwise niulize then nipate jina lake..ila yeye alijua anachoma Aghakan..
Sickle cell ni ugonjwa wa kurithi,na hakuna kingia kuzuia watoto wako wasiupate.Kuna 50% chance kwamba mtoto atakayezaliwa anaweza kurithi.Wadau,
Naomba kueleweshwa kama ukioa mtu mwenye sickle cell, kuna uwezekano wa watoto kurithi huo ugonjwa?
Na kuna kinga yoyote ambayo mtu mwenye sickle cell anaweza kupewa ili asimrithishe mtoto kama ugonjwa huo unarithishwa?
Sickle cell ni ugonjwa wa kurithi,na hakuna kingia kuzuia watoto wako wasiupate.Kuna 50% chance kwamba mtoto atakayezaliwa anaweza kurithi.
kama tukichanganya
XX na XY =XX XY XX XY
XX=mtu asiye na sickle cell anemia
XY=mtu mwenye sickle cell anemia
Sickle cell ni ugonjwa wa kurithi,na hakuna kingia kuzuia watoto wako wasiupate.Kuna 50% chance kwamba mtoto atakayezaliwa anaweza kurithi.
kama tukichanganya
XX na XY =XX XY XX XY
XX=mtu asiye na sickle cell anemia
XY=mtu mwenye sickle cell anemia
Mimi nn sickle cell na nn umri wa miaka 28 so ukiongea kitu iwe unakielewa kiundani na si kulopoka. Pia nna mtoto mmoja wa kike ambaye hana ugonjwapole ndugu..ndo maana mnaambiwa mpime blood groups kabla ya juamua kutengeneza.mtoto sababu kama sio negative groups zenu basi ni ya kurithi..
mimi sio daktari wala mtaalam wa haya mambo ila limewah kutokea kwa rafiki wa dada yangu..yeye alivogundua kuwa damu zao ni -ve na wanataka mtoto yeye na mchumba wake walienda kwa daktari na akawashauri kumtengeneza mtoto kwa masharti ya mama kichomwa sindano ya kuzuia hilo tatizo la anaemia pindi atakapozaliwa maana asilimia kubwa ilionyesha lazima wapate mtoto wa aina hiyo...basi akawa anachoma hizo sindano zenyewe ni gharama pia..mtoto akazaliwa akiwa na kiwango kidogo sana cha kuweza kupata anaemia..sasa ana miaka 17 na huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8.samahan jwa kulisema hili sikutishi ila sijui wa.kwako ana umri gani..
tuwasubiri wataalam kwakweli maana mimi sijawahi kusikia tiba baada ya mtoto kuzaliwa ila nlishasikia kinga tu kabla hajazaliwa..
ushauri unaotolewa na madaktari pia ni kuepuka kuzaa ili kuepusha uwepo wa tatizo hili...ila uwezekano wa kupata mtoto nwingine ambae hana upo kama mtakua na uwezo wa mama kudunga hizo sindano kwa miez yote 9.hebu madoctor njooni huku..
Mimi nn sickle cell na nn umri wa miaka 28 so ukiongea kitu iwe unakielewa kiundani na si kulopoka. Pia nna mtoto mmoja wa kike ambaye hana ugonjwa
Habari ndugu,
Nina mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka miwili sasa.Tangu alipozaliwa alikuwa na matatizo ya upungufu wa damu(anaemia) na baadae kugundulika kuwa ana tatizo la sickle cell (Hbss).Kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kuanzishiwa cliniki pale muhimbili.
Kwa maelezo ya daktari pale muhimbili hakuna tiba ya ugonjwa huu kwa sasa,kinachofanyika ni kuudhibiti (control) tu kwa kumpatia mtoto vidonge vya folic acid and penicilin-V,je
1-hakuna tiba mbadala juu ya tatizo hili?
2-Kwa kuendelea kutumia dawa hizi,mtoto anaweza kukua na kufikia kuwa mtu mzima bila matatizo?
3-Kwa maelezo ya daktari sisi(yaani mimi na mke wangu) tuna chance ya kupata mtoto mmoja mwenye sickle cell kwa kila watoto wanne(kwa kuwa ni carrier yaani HbAs),na kwa vile mtoto wetu wa kwanza tayari anatatizo hili,je waliobaki (watatu) hakuna chance ya wao kupata tatizo hili?
Nitashukuru sana kupata majibu au ufafanuzi wa mambo haya.
Asanteni sana.
Mimi nn sickle cell na nn umri wa miaka 28 so ukiongea kitu iwe unakielewa kiundani na si kulopoka. Pia nna mtoto mmoja wa kike ambaye hana ugonjwa[/QU
Pole sn ndugu yangu na asante kwa kumprove wrong huyo aliyetuma hiyo post.
Naomba uendelee kunipa ushirikiano na ushauri juu ya matunzo ya watoto wenye hili tatizo.
Nimechelewa kureply kwa kuwa nilikuwa nje ya mtandao kwa muda mrefu.
Thanks ila akiwa carrier ndo yupo ktk hali gan, huwa sijui maana ya CARRIERMkuu kheri
Iko hv ili mtoto azaliwe na sickle cell anaemia disease ni lazma wazaz wote wachangie traits au sifa.
Kama maana hyo mzaz mmoj akiwa hana genes za ugonjwa huo hawez kuzaliwa akiwa na sickle cell anaemia disease. Ila anaweza kuzaliwa kama carrier
Kuhusu mama mwenye sickle cell kushika ujauzito na kulea ni kwamba complication atakayopata kubwa ni Anaemia kwa maana ya upungufu wa damu hvyo anahitaji care kubwa sana
Unatibika lakiniUgonjwa mbaya sana huu..