Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

wewe ulikuwa na matatizo ya pesa tu
ulijuaje una vidonda vya tumbo wakati hujapima
kuharisha kunaletwa na mawazo, maisha magumu uliyoyatarajia hayakuwa
kudaiwa, kufilisika nk
umepona kwa imani tu hata ungetumia majani ya mpera kusaga au maganda ya chungwa ungepona bila ya kupima
 
Jaribu kunywa whisky kama John walker black label au golden label kama hukusikia maumivu itakuwa umepona
 
Out of topic labda urudie kusoma
 
Aiseeeeh,
Kweli wewe ni [HASHTAG]#ukwaju[/HASHTAG]!!!

Maana, ukwaju ni mchahcu sana kama haya mawazo yako.
 
Vinaweza vikatulia kwa muda tu cha msingi ni kwenda kupima ili ujilidhishe. Pia ni muhimu upunguze kula vyakula vyenye acid kwa wingi ili uepuke kuvitonesha
 
Umeambiwa asali ya mdalasini
Asali na mdalasini au asali ya mdalasini? Contradiction ya wazi kabisa hiyo.
Ukizungumzia mdalasini, unazungumzia magome ya mti.
Sasa hapo magome kuwa na asali ama kuwa ni asali, wapi na wapi?
 
Asali na mdalasini au asali ya mdalasini? Contradiction ya wazi kabisa hiyo.
Ukizungumzia mdalasini, unazungumzia magome ya mti.
Sasa hapo magome kuwa na asali ama kuwa ni asali, wapi na wapi?
Magome ya mdalasini huwa yanasagwa na kua unga lain then utachukua certain amount unachanganya na asali ndo inakua asali ya mdalasini
 
Vinaweza vikatulia kwa muda tu cha msingi ni kwenda kupima ili ujilidhishe. Pia ni muhimu upunguze kula vyakula vyenye acid kwa wingi ili uepuke kuvitonesha
Poa mkuu ntajitahidi
 
Jaribu kunywa whisky kama John walker black label au golden label kama hukusikia maumivu itakuwa umepona
Hizi ni akili ama matope
 
Jaribu kunywa whisky kama John walker black label au golden label kama hukusikia maumivu itakuwa umepona
Hizi ni akili ama matope
 
juice ya cabbage unainywa kiasi gani? ni ina blend cabbage na maji tu au unaweka nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…