Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri




sante lakini kwenye kula kiini cha yai mmmh! Wacha na mimi nijaribu.
 


Kiongozi siyo madonda ya tumbo tu nahisi kuna maradhi mengi sana hii kitu inatibu ila watu bado hawajatambua, maana kuna story nilisikia kuhusiana na mkojo yaani hadi nilishtuka.
 
Mwenye tatizo la vidonda vya Tumbo Naomba anitafute PM Kuna dawa ya mitishamba ni Nzuri sana Mimi imenisaidia sana kamwe hutojutia kutumia Hii dawa..
 
Mwenye tatizo la vidonda vya Tumbo Naomba anitafute PM Kuna dawa ya mitishamba ni Nzuri sana Mimi imenisaidia sana kamwe hutojutia kutumia Hii dawa..


Sasa Mkuu Kama Unafanya Biashara ungeliandika tu Kuwa Unauza dawa! Na Kama Huuzi Si Ungeweka tu Hapa Maelezo ya Hiyo Dawa wakafaidika Wengi, Yanini Kuwavuta watu Private?
 
Sasa Mkuu Kama Unafanya Biashara ungeliandika tu Kuwa Unauza dawa! Na Kama Huuzi Si Ungeweka tu Hapa Maelezo ya Hiyo Dawa wakafaidika Wengi, Yanini Kuwavuta watu Private?
Mwenye uhitaji anitafute pm.. Nipo Kahama ni dawa hasa.
 

Mzizimkavu salama,

Baada ya kusoma comment yako niliamua kutafuta zaidi kuusu mkojo na nimenunu kitabu kutoka marekani kwa amazon kinacho husu tiba za mkojo (Urine therapy),naendelea kukisoma lakini mpaka sasa wameonyesha kwamba mkojo unatibu magonjwa mengi sana. thx for bringing up this idea.

unaweza kuja PM unieleweshe mawili matatu, please.
 
Habari WanaJF,

Nina rafiki yangu huu mwaka wa pili anasumbuliwa na ulcers (vidonda Vya tumbo).

Ameshazunguka sanitarium clinics nyingi tu ikiwemo G...... sanitarium clinic Mwanza ila ameishia kudhurumiwa kwani tatizo liko pale pale..

Kanywa Aloe vera mpaka basi, kala kabeji hadi wenye bustan wanamchukia hivi sasa kachoka anasubiri rehema za Mwenyez Mungu.

Msaada jamani natanguliza shukrani kwenu..
 
Karibuni kwa msaada Wa ushauri Wa tiba mbadala karibun sana
 
Atumie juizi ya parachichi kwa uwingi hakika atapona na azingatie muda wa kula
 
Ni pm kuna Dada angu nae vilimsumbua sana akapewa dawa kapona kabisa ni ya kulamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…