Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Jamani ni nisaidien tiba mbadala wale mlioztumia mkapona make dawa ni nying na gharama kubwa tatizo uhakika wa kuponyesha ndo shida. ninatatizo la vidonda vya tumbo nimejarbu kutumia dawa za hospitalni ila bado sijapona
 
Vidonda vya tumbo vinatibika kwa urahisi hospitalini kwa kutumia triple therapy. Tatizo wagonjwa wengine hawana vidonda vya tumbo but wanaamini wanavyo kutokama na taarifa potofu
 
Vidonda vya tumbo vinatibika kwa urahisi hospitalini kwa kutumia triple therapy. Tatizo wagonjwa wengine hawana vidonda vya tumbo but wanaamini wanavyo kutokama na taarifa potofu

mheshimiwa tunasubiria ufafanuzi tafadhali rudi hapa
 
Juice ya carrot ni dawa ya vidonda vya tumbo. Anakunywa asubuhi na jioni. Kama una ndugu yako mtaarifu.
 
Juice ya carrot ni dawa ya vidonda vya tumbo. Anakunywa asubuhi na jioni. Kama una ndugu yako mtaarifu.

Kwa muda gani napaswa kunywa hii juice? Dilution yake je inakuaje? Plz advise me nianze leo hii hali si nzuri. Thx
 
Vidonda vya tumbo vinatibika kwa urahisi hospitalini kwa kutumia triple therapy. Tatizo wagonjwa wengine hawana vidonda vya tumbo but wanaamini wanavyo kutokama na taarifa potofu
kamili mbona mimi hayo madawa hayajanisaidia kupona kabisa? Though nimekaa kama mwaka bila kuumwa lakini from the past one month to date hali yangu si poa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
zile dawa zinatibu vizuri. Nenda hospitali inayokubalika ukapimwe kwanza. Huenda shida imerudi au ni tatizo lingine then leta matokeo.
 
zile dawa zinatibu vizuri. Nenda hospitali inayokubalika ukapimwe kwanza. Huenda shida imerudi au ni tatizo lingine then leta matokeo.

Nashukuru kamili ngoja niende tena nikapime
 
Last edited by a moderator:
kama umesumbuliwa na vidonda vya tumbo ruka hewani kwa namba 0716609916 wana unga wa ambao ukitumia ni siku nne vidonda kwako itabaki historia:llama:
 
Ulitakiwa kufanyiwa upper GI endoscopy ili kuchukua sample tissue na kwenda kufanya culture kujua aina gani ya antibiotic itawaua hao bacteria mkuu.
Mkuu yaani unavosema ulipona naona km naota ndoto kuwa vidonda vya tumbo uwa vinapona .sasa apa tanzania Upper GI endoscopy na culture zinaweza patikana wapi maana naumia sana
 
nawashukuru wale wote walichangia kujibu mada hii kwani nilikuwa sijuh chochote kuhusu vidonda vya tumbo
 
jaman samahanin , kwa kuchanganya maada ... Mm pind nikiwa kwenye game na mwenzang naweza tumia ad dk ata 50 au lisaa lizima sijakojoa na ad nkija kukojoa bas mwenzang huwa atak tena kuendelea anakuwa kachoka sanaa asa mm naboreka na hii hal kilasku naishia kigol kimoja nifanyeje ikate... Nlikua napenda kulamba asal kilasku na kukimbia sana uwanjan kilasku lakn nimeacha vyote lakn hal bado yaendelea... Mwenzang anazanig namkomoa na cku nyngne anachukiga ad tunaishiaga kati bila mm kukojoa na huwa analalamikaga anaumiaga sana chn ya tumbo ... #MSAADA PLEASE#

wanakuja wataalamu subiri kidogo
 
pata chupa 6 za aloe vera gel, lycium plus ,be propolis na fields of green izi nii food nutrients za forever living kuzipata nipigie zinasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo... 0657088003
 
Back
Top Bottom