Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo changamoto yake hahaha. Inabidi mtu anayetumia awe ana exercise utumiaji dawa za minyoo kila baada ya miezi 3.Kabichi nzuri utapata choo vizuri ila utapata na minyoo
Halafu mbona kuna dokta nilinsikia redio flani alikua anahojiwa anasema kabeji ni mbaya kwa vidonda vya tumboKwa kuongezea, ale mchanganyiko wa kabeji, bamia na karoti uliochemshwa kidogo na kutiwa chumvi kiasi walau mara 2 kwa siku kwa muda wa mwezi mmoja
Asante mkuu, ukizipata ebu uziweka hapa tafadhaliKwa bahati mbaya Sina mawasiliano na huyo mwenye dawa ila nitamuuliza bi mkubwa atanipa contact zake kwa mwenye uhitaji Basi nitampatia.
Pole sana mkuu. Ndiyo nimeiona hii post yako leo. Nina ushauri ufuatao.Yes kama nikila embe, nanasi, (citrus zote) soda, majuis ya dukani, vitu vya baridi, viazi, nyama yaani kifupi sina chema tumbo linanivuruga wakati wote. Nikila kidogo tumbo linajaa gesi. Nimekua mkali kama pilipili. kila saa mahasira, nachukia vitu vya kijinga hadi wakati mwingine najishangaa.