Ugumu anaoupitia Harmonize ni kielelezo tosha kwanini sanaa yetu haikui. WCB inaua wasanii nje ya lable yao

Chapa kazi kondaboy, kulialia mtandaoni hakutakusaidia lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ninaloliona ni kuwa konde boy anataka ajilinganishe na mond kitu ambacho kwa namna moja ama nyingine hakiwezekani kama ataamua afanye music bila kushindana na mtu atatoboa ila akiendelea hivi na mafumbo kwenye music atapotea kingine sie mashabiki hatuwambii ukweli wasanii wetu tunawapa sifa zilizo nje ya uwezo wao
 

Huyo anajimaliza mwenyewe na CCM yake
Ukijifanya wewe mpiga debe wa ccm.. hesabu maumivu.

Awaulize akina Marlow na wenzake
 
Nazipenda nyimbo zake konde boy lakini anafanya ujinga sana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeye si ndio analipa cha kufanya kundi la wapuuzi.. Unadhani bila Diamond na mameneja kamati ya fitna kuna wapuuzi? Hawatakuwepo watabaki mashabiki sasa mkuu
Mbona mashabiki wapuuzi wapo kwa wasanii wote wa mziki kuanzia Kiba, Vanessa, Aslay n.k na hao mashabiki hawapo tu kwenye mziki pekee wapo hata huku kwenye soccer letu.
 
Diamond anakusaidia ukiwa sio threat kwake
ukishakua tishio wa himaya yake lazima mgombane anajua team yake yote itamsapoti na watakushusha.
Shetta /Ommy dimpoz /Konde boy nk
yoyote anaetishia himaya ya Diamond[emoji724]
Diamond alivyokua anamsifia konde,Wakina shetta /ommy anaenda nao kila mahala kama chawa sio wa kuishia ivi leo.Kama sio fitna ni nini[emoji2]
 
HAKUNA HURUMA YA WANANCHI KAMA UNATOA NGOMA MBOVU, APAMBANE KWA NAFASI YAKE JAPO ANGUKO LAKE LINAONEKANA WAZI KABISA
Naona saizi anatoa stress mara hainishtui mara sijui hujanikomoa yaani jamaa sijui ndo kupanic!? Afanye mziki asipige madongo jiwe anajidhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…