Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu

Huko si ndiyo kwa hayati John?
 
Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?
 
Serikali yetu haipo kwa ajili ya wananchi bali wapo kujinufaisha wao tu
 
Wababa msizikimbie familia zenu, pambaneni . Wako wanaumme akisha ona familia imekuwa kubwa, kulisha hawawezi , anaikimbia. Anaenda tafutamwanamke asie na watoto. Mwanamke nae kupata mwanamme na una watoto 5 ni ngumu. Matokeo yake ni hawa Street kids, mama nae kawatekeleza.
 
Uchumi umefungaka na kazi iendelee kauli mbiu ya Awamu ya 6
Watu wanajari Mkopo wa Chanjo kuboresha maisha ya watu hakuna kitu ndo kwanza unaambiwa watu wachanjwe wakati hawajui asubuh mchana na jioni watakula nini
 
Unaongea porojo miiingi ooh chakula ni ziada tu huku umeweka ugali mkuuuubwa kwenye AVATAR.!!

Strictly PATHETIC.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ugali nakula mara ngapi? Porojo zipi kukosa chakula ndio ujiue wakati kuna wanaokula na kusaza wapo, ishu ya kula unaweza kuishi siku kadha bila kula huku ukivuta hewa. Huenda hujawahi kuona njaa maishani mwako unaisikia tu. Huyo mama amefanya kitendo hicho huenda ni njaa tu hakuona namna ya kupata chakula. Hakuvumilia kutaabika kwa njaa ya muda tu
 
Wanatakiwa waanze na baba.
Ugumu wa malezi ya watoto ulisababishwa na huyu Mama kwa kutotulia na mwanaume mmoja, maana Kila Mtoto alikuwa na Baba yake.

Binti ana miaka 30 huku ana watoto watano.
 
Miaka 30 watoto 5 dadangu amejitahidi kuujaza ulimwengu haraka.
 

Hivi Chato si ndio Dubai yetu?
 
Chato nchi ya asali na maziwa,mtu kaua watoto wke kisa maisha magumu,lawama zote kwa john
Kijiji pekee nchini chenye international airport direct flights to/from Amsterdam maisha yanakuwaje magumu? Kiufupi ndio kijiji tajiri zaidi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…