Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #61
Sasa unapinga nini! Unamtetea nani aliyekwambia ana maisha magumu! Umetambua wajibu wake kwenye hayo maisha yake!?Nani kakwambia nina maisha magumu?
Wewe huwezi hata kufanya fikra dhahania.
Unafikiri mimi kukupinga wewe ni kwa sababu nina maisha magumu.
Huelewi kuwa ninaweza kuwa na maisha mazuri kuliko wewe, na bado nikakupinga.
Juzi nimefanya muamala mmoja tu wa $50,000.
Maisha magumu gani unayoyaongelea kwangu mimi?
Nyuma ya maisha kuna uzembe wa kutumia mazingira!
Na wazembe wote ndo hao walibuni huo msemo wa maisha magumu!
Maisha magumu huwa wanayalinganisha na ya nani?
Kama ni ishu ya kulinganisha basi hata ukiwa Rais ukikutana na maRAIS wenzio utasema una maisha magumu!
Neno maisha magumu ni kichaka cha kujificha wajinga wengi