secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Niko mbioni kufungua Duka la kondom zenye marashi yenye harufu tafauti tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lako limefanana na la classmate wangu alikua ananiita KakaMaamuzi ya Trump nayaunga mkono kwa asilimia miamoja (100%), Wiki ya wanawake ng'ombe waliochinjwa Ausha thamani yake inakadiriwa kuwa shilingi Milioni 360, tunashindwaje kununua condom, we are not serious. Garama ya sherehe kwa vitenge peke yake ni mabilioni. Bado tupo gizani
Duh 🙄 🙄 !1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza.
2. Inabid watu wapige mbichi tu-kutembelea rim.
3. Tafadhali Mheshimiwa Dr Waziri tukumbuke wapiga Kura wenu.
Mwenge ,mwenge,mwenge!Maamuzi ya Trump nayaunga mkono kwa asilimia miamoja (100%), Wiki ya wanawake ng'ombe waliochinjwa Ausha thamani yake inakadiriwa kuwa shilingi Milioni 360, tunashindwaje kununua condom, we are not serious. Garama ya sherehe kwa vitenge peke yake ni mabilioni. Bado tupo gizani
1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza.
2. Inabid watu wapige mbichi tu-kutembelea rim.
3. Tafadhali Mheshimiwa Dr Waziri tukumbuke wapiga Kura wenu.