zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Hela ya gari ni ya gari Hela ya choo ni chooBajeti ya kununua magari kila mwaka ni zaidi ya Bilioni 580 na sasa nasikia inakimbilia Bilioni 900 ,then tunashindwa kujenga Choo na kununua mosquito nets mpaka msaada wa wamarekani.