Uhaba wa Condom za msaada - Corner Bar Afrika Sana

Uhaba wa Condom za msaada - Corner Bar Afrika Sana

Maamuzi ya Trump nayaunga mkono kwa asilimia miamoja (100%), Wiki ya wanawake ng'ombe waliochinjwa Ausha thamani yake inakadiriwa kuwa shilingi Milioni 360, tunashindwaje kununua condom, we are not serious. Garama ya sherehe kwa vitenge peke yake ni mabilioni. Bado tupo gizani
Ujue condom za 360M ni kontena kama 10 za kondomu
 
Muda mwingine achaneni na hizi mindset za kimasikini.
Kweli kabisa ukahatarishe afya yako kisa kondom za misaada?
Yan mwanaume ukaweke rehan maisha yako kisa condom ya 1000???.
Nchi hii kuendelea ni ngumu kwa usawa huu
 
Maamuzi ya Trump nayaunga mkono kwa asilimia miamoja (100%), Wiki ya wanawake ng'ombe waliochinjwa Ausha thamani yake inakadiriwa kuwa shilingi Milioni 360, tunashindwaje kununua condom, we are not serious. Garama ya sherehe kwa vitenge peke yake ni mabilioni. Bado tupo gizani
Hesabu haziendi hivo ..hio ni sherehe ya siku Moja ela zake zikinunua condom alaf zikiisha tuanze Tena kutafuta ela za kwenye sherehe ingine ..
 
Back
Top Bottom