Uhaba wa Condom za msaada - Corner Bar Afrika Sana

Jina lako limefanana na la classmate wangu alikua ananiita Kaka
 
Hivi corner ndo new vibe lounge au ushamba unanisumbua

Anyway kikao kitafanyika Afrikasana jioni ya leo
 
1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza.

2. Inabid watu wapige mbichi tu-kutembelea rim.

3. Tafadhali Mheshimiwa Dr Waziri tukumbuke wapiga Kura wenu.
Duh 🙄 🙄 !
Kutembelea Rim wataziharibu Barabara !
Wapewe msaada haraka iwezekanavyo wapiga kura wetu !
 
Ya kwamba 30,000 ya kulipia gest na kumuhonga malaya wa kufanya nae uzinzi anayo ila 500 ya kununua kondom huna unataka upewe na serikali?
 
Ya kwamba 30,000 ya kulipia gest na kumuhonga malaya wa kufanya nae uzinzi anayo ila 500 ya kununua kondom huna unataka upewe na serikali?
Ndio
 
Mwenge ,mwenge,mwenge!
 
Mishangazi imejàa tatizo Kondom
 
1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza.

2. Inabid watu wapige mbichi tu-kutembelea rim.

3. Tafadhali Mheshimiwa Dr Waziri tukumbuke wapiga Kura wenu.

Nilisoma mahala tunaongoza kwa kuwa na WATU WAJINGA....
Kwani hiyo ya kuhonga/kulipia Ngono unapewa na Serikali?
HATA HIVYO MUNGU ANACHUKIA SANA UMALAYA...... BORA ZIISHE KABISA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…