Uhaba wa Condom za msaada - Corner Bar Afrika Sana

Bajeti ya kununua magari kila mwaka ni zaidi ya Bilioni 580 na sasa nasikia inakimbilia Bilioni 900 ,then tunashindwa kujenga Choo na kununua mosquito nets mpaka msaada wa wamarekani.
Hela ya gari ni ya gari Hela ya choo ni choo
 
Nunueni glovu za mikono mkate vile vidole, vina raha yake kama ndimu vile.
 
Yan hadi kondom unataka msaada wakati umenunua malaya kwa 5000, ila condom ya buku unataka msaada? Alietuzoesha misaada wa Africa alitukosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…